Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) MHE. DKT. TEDROS A. GHEBREYESUS




Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi

 Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Kabudi afanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania


Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) afanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Wang Ke. Mazungumzo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China ambapo nchi hizi zinaelekea kuadhimisha mika 55 tangu kusainiwa mktaba wa urafiki Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Dr. Margaret F. Chan amemteua Dr. Winnie  Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani, upande wa masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu Malaria na Magonjwa yaliyosahaulika. Uteuzi huu umetangazwa rasmi na Dr. Chan wakati wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Shirika la Afya Duniani kilichoanza tarehe 14 mpaka tarehe 26 Mei 2015, Geneva, Uswisi.
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA MABOMBO YA NJE PROF. KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, ambapo walijadili masuala mbalimbali yanayohusu mahusiano baina ya Tanzania na Italia.
Aidha, walitumia mazungumzo hayo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus aomba siasa kutochanganywa na virusi

Matamshi yake yanajiri huku rais Donald Trump akiendelea kushambulia kile alichokitaja kuwa upendeleo wa WHO kwa China.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani,Dr. Margert Chan

Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa,Geneva,Mhe. Balozi Modest J.Mero amekutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, katika ofisi za Shirika la Afya Dunia jana tarehe 31 Januari 2014. 
Huu mkutano ni moja ya mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa Gevena, Uswisi Katika kajenga mahisiano ya karibu kikazi. Katika mkukutano huu msimamo wa Tanzania kuhusu masuala mbalimbali ya Afya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE, JIJINI DODOMA, LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, masuala mbalimbali ya kikazi. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Wazirihuyo, jijini Dodoma, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akiagana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani