Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI MERO AKUTANA NA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani,Dr. Margert Chan

Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa,Geneva,Mhe. Balozi Modest J.Mero amekutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, katika ofisi za Shirika la Afya Dunia jana tarehe 31 Januari 2014. 
Huu mkutano ni moja ya mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa Gevena, Uswisi Katika kajenga mahisiano ya karibu kikazi. Katika mkukutano huu msimamo wa Tanzania kuhusu masuala mbalimbali ya Afya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LINANOPAMBANA NA UKIMWI (UNAIDS)

Mhe. Modest J. Mero, Balozi wa kudumu, Ubalozi wa Tanzania, Geneva alipokutana na Bi. Jan Beagle, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na UKIMWI (UNAIDS), katika ofisi ya ubalozi wa Tanzania. Bi. Jan pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Bi. Jan alimtembelea Balozi kwa lengo la kumtaarifu juu ya majukumu ya bodi ya UNAIDS. Hii pia ni muendelezo wa mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif akutana na Balozi wa Kuwait pamoja na mwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) nchini

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, ofisini kwake Migombani. Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, baada ya mazungumzo...

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Mero ashiriki Mkutano mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Viwanda Duniani (UNIDO) unaofanyika Vienna, Austria

Balozi Modest Jonathan Mero, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataiafa na Mashirika mengine ya Kimataifa Geneva na Vienna akiwasilisha hotuba ya Tanazania katika mkutano mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Viwanda Duniani ambao unajadili maendeleo endelevu ya viwanda kama njia mbadala ya kuzikwamua nchi maskini. Mkutano huu unafanyika jijini Vienna, Austria kuanzia tarehe 30 Novemba hadi tarehe 4 Desemba 2015.
Katika hotuba yake, Mhe. Balozi Mero, pamoja na mambo mengine...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi

 Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC

Picha na – OMPR – ZNZ. Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la avic kutoka Jamuhuri ya Watu wa China limejitolea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuanzisha mradi […]

The post Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Dr. Margaret F. Chan amemteua Dr. Winnie  Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani, upande wa masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu Malaria na Magonjwa yaliyosahaulika. Uteuzi huu umetangazwa rasmi na Dr. Chan wakati wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Shirika la Afya Duniani kilichoanza tarehe 14 mpaka tarehe 26 Mei 2015, Geneva, Uswisi.
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani