Rais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro). Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni, mara baada ya kufanya mazungumzo nae.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es Salam
11 years ago
Dewji Blog16 May
Rais Jakaya Kikwete afanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga( ICAO) Ikulu Jijini Dar
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha...
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti :...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
9 years ago
VijimamboRais Kikwete afanya Mazungumzo na Rais Kabila wa DRC Dar es Salaam
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
CCM BlogRAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA KINA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD,PROF LIPUMBA NA MBATIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amefanya mazungumzo na...
5 years ago
MichuziRAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika picha ya...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM