Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani

>Hatimaye waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekitosa chama chake cha CCM na kutua Chadema. Huko ndiko anatarajia kuendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza na sasa anatarajiwa kupambana na ikiwezekana kukidhoofisha chama kilichomlea katika harakati za kuingia Ikulu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa, anguko la upinzani nchini

NIMEKUWA na siku nyingi kidogo sijaandika.Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABU IDDI: Je, Lowassa ameuimarisha upinzani au ameudhoofisha?

Tukiutafakari upinzani katika nchi yetu hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, tunatakiwa tuutazame katika sura nne tofauti:

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani

Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.

 

10 years ago

GPL

CHADEMA WAMPOKEA LOWASSA

Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa (ndani ya gari) akilakiwa na makada wa CHADEMA alipowasili mkoani Arusha juzi jumatano. Na Sifael Paul Mamia ya makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha, wamejitokeza kumpokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) ambaye ni mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Lowassa kuhamia Chadema?

SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtangaza Dk. John Magufuli kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wapenzi wa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamemtaka akihame chama chake.

Kati ya wapenzi hao ni mbunge wa zamani wa Monduli, Luteni Lepilal Ole Molloimet, aliyesema jana kwamba iwapo Lowassa ataondoka CCM chama kitakuwa katika hali mbaya.

Akizungumza na Raia Tanzaia jana kwa simu, Molloimet alisema: “Tena mimi ninataka ‘a-cross’ (ahame). Afanye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hotuba ya Lowassa alipohamia CHADEMA

Hotuba ya aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa alipohamia katika chama cha CHADEMA

 

10 years ago

Mwananchi

Hotuba ya Lowassa kujiunga Chadema

>Yamepita majuma mawili tangu mchakato wa kuchagua mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ukamilike. Nimetumia muda huu kutafakari kwa kina yaliyotokea Dodoma na hatima yangu katika siasa nchini. Ninajua marafiki wengi na wananchi wenzangu wanaoniunga mkono wamekuwa wakisubiri kwa hamu nitoe kauli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani