Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa kuhamia Chadema?

SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtangaza Dk. John Magufuli kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wapenzi wa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamemtaka akihame chama chake.

Kati ya wapenzi hao ni mbunge wa zamani wa Monduli, Luteni Lepilal Ole Molloimet, aliyesema jana kwamba iwapo Lowassa ataondoka CCM chama kitakuwa katika hali mbaya.

Akizungumza na Raia Tanzaia jana kwa simu, Molloimet alisema: “Tena mimi ninataka ‘a-cross’ (ahame). Afanye...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

OLE SENDEKA AKANUSHA KUHAMIA CHADEMA

Mahmoud Ahmad Arusha
Uvumi ulioenezwa na mitandao ya kijamii kuwa mh.Christopher Ole Sendeka anahamia chadema ameikanusha na kusema kuwa haina tija na niupotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muuumini wa chama cha Mapinduzi wala hajaona chama mbadala zaidi ya chama hicho.
Sendeka ameyasema hayo leo wakati akiongea na vyombo vya habari jijini hapa na kuwataka wanaoeneza kuacha mara moja kumuhusisha na kuhamia kwenye chama hicho kwani yeye ni muumini wa CCM.
Alisema kuwa hajaona chama...

 

10 years ago

Habarileo

Mke azungumzia mume kuhamia Chadema

MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani hapa, Fatuma Ngorisa ambaye ameteuliwa kuwa diwani wa Viti Maalumu (UWT) amesema kuwa kuhama kwa mume wake, ni uamuzi wake binafsi, hakumshirikisha hivyo hawezi kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI


Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya  Bunge.


Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo  kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho  ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli: Mwanahabari aliyeitosa CCM na kuhamia Chadema

Jina la James Lembeli siyo jipya kwenye medani za siasa. Huyu ni moja ya wanasiasa waliopata umaarufu mkubwa katika kipindi cha ndani ya miaka 10 alichokaa bungeni akiwakilisha Jimbo la Kahama kwa tiketi ya CCM.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE LATIFA CHANDE WA CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA CCM

Mbunge wa Viti Maalum  kupitia CHADEMA, Latifa Chande akitamka bungeni kukihama chama hicho kwa kusema anarejea nyumbani CCM Juni 15, 2020. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu na kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mbunge wa Viti Maalum  kupitia CHADEMA, Latifa Chande akitamka...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani