Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OLE SENDEKA AKANUSHA KUHAMIA CHADEMA

Mahmoud Ahmad Arusha
Uvumi ulioenezwa na mitandao ya kijamii kuwa mh.Christopher Ole Sendeka anahamia chadema ameikanusha na kusema kuwa haina tija na niupotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muuumini wa chama cha Mapinduzi wala hajaona chama mbadala zaidi ya chama hicho.
Sendeka ameyasema hayo leo wakati akiongea na vyombo vya habari jijini hapa na kuwataka wanaoeneza kuacha mara moja kumuhusisha na kuhamia kwenye chama hicho kwani yeye ni muumini wa CCM.
Alisema kuwa hajaona chama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Chadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka 'Dhamira yetu sio madiwani pekee tutachukuwa mpaka halmashauri'.


Na Amiri Kilagalila,Njombe

Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya mitiani yote wanayopitia.

Hayo yamebainishwa na viongozi wa chama hicho mkoani Njombe wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza madiwani wanaotokana na chama hicho wa halmashauri ya mji wa Makambako kwa kuvumilia na kufanikiwa kumaliza kipindi chao cha miaka mitano.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe...

 

9 years ago

Raia Mwema

Dk.Nagu, Ole Sendeka lawamani

HALI ya hewa kisiasa imechafuka Babati, Manyara.

Paul Sarwatt

 

11 years ago

IPPmedia

Simanjiro MP, Christopher ole Sendeka


IPPmedia
Simanjiro MP, Christopher ole Sendeka
IPPmedia
Simanjiro MP Christopher ole Sendeka has urged donors who fund different developmental projects in the district to disclose their sources of funding, in an effort to refrain from the use of 'dirty money'. The MP issued the directive at the weekend during the ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi

Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amesema watu wote waliohusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow lazima wawajibishwe, huku akimtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kueleza kuwa hastahili kuwajibika kwa kuwa uwajibikaji wa sakata hilo siyo wa pamoja.

 

11 years ago

Mwananchi

SMZ yapinga kauli ya Ole Sendeka

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imekataa pendekezo la Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM) aliyetaka Hati ya Muungano iendelee kuwa siri na kuweka bayana kuwa nyaraka hiyo iko wazi kwa mtu yoyote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ole Sendeka akoleza moto fedha za Escrow

MBUNGE wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM), amezidi kukoleza moto wa sakata la uchotwaji fedha za akaunti ya Tegeta Escrow, dola milioni 250 za Marekani, akisema serikali inapaswa kuweka ukweli...

 

11 years ago

TheCitizen

Surprise as Ole Sendeka salutes bitter rival

Simanjiro MP Christopher ole Sendeka has praised his Singida East counterpart, Mr Tundu Lissu, for a job well done in the Constituent Assembly.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani