Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIKILIZE OLE SENDEKA ALIPOKANUSHA UVUMI KUHUSU YEYE KUHAMIA CHADEMA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

OLE SENDEKA AKANUSHA KUHAMIA CHADEMA

Mahmoud Ahmad Arusha
Uvumi ulioenezwa na mitandao ya kijamii kuwa mh.Christopher Ole Sendeka anahamia chadema ameikanusha na kusema kuwa haina tija na niupotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muuumini wa chama cha Mapinduzi wala hajaona chama mbadala zaidi ya chama hicho.
Sendeka ameyasema hayo leo wakati akiongea na vyombo vya habari jijini hapa na kuwataka wanaoeneza kuacha mara moja kumuhusisha na kuhamia kwenye chama hicho kwani yeye ni muumini wa CCM.
Alisema kuwa hajaona chama...

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka 'Dhamira yetu sio madiwani pekee tutachukuwa mpaka halmashauri'.


Na Amiri Kilagalila,Njombe

Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya mitiani yote wanayopitia.

Hayo yamebainishwa na viongozi wa chama hicho mkoani Njombe wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza madiwani wanaotokana na chama hicho wa halmashauri ya mji wa Makambako kwa kuvumilia na kufanikiwa kumaliza kipindi chao cha miaka mitano.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe...

 

10 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ndugai akanusha uvumi wa yeye kuugua



NA MOHAMMED ISSABAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana kwenye shughuli mbalimbali, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameibuka na kusema yupo hai na ni mzima wa afya. JOB NdugaiNdugai ambaye tokea kuanza kwa mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania alikuwa hajaongoza kikao chochote. Muda mwingi katika kikao hicho, kilikuwa kikitumia wenyeviti wakati Spika, Anne Makinda, anapokuwa hayupo bungeni. Akizungumza na Uhuru kwa njia ya simu jana, Ndugai (Kongwa-CCM),...

 

11 years ago

IPPmedia

Simanjiro MP, Christopher ole Sendeka


IPPmedia
Simanjiro MP, Christopher ole Sendeka
IPPmedia
Simanjiro MP Christopher ole Sendeka has urged donors who fund different developmental projects in the district to disclose their sources of funding, in an effort to refrain from the use of 'dirty money'. The MP issued the directive at the weekend during the ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Dk.Nagu, Ole Sendeka lawamani

HALI ya hewa kisiasa imechafuka Babati, Manyara.

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Vijimambo

EDEN HAZARD AKANUSHA UVUMI WA KUHAMIA REAL MADRID

Nyota wa Chelsea FC Eden Hazard (jezi na 10) amekanusha habari kwamba anampango wa kuhamia timu ya Real Madrid ya Hispania. Mchezaji huyo tumaini la Chelsea FC ya Uingereza amesema hana mpango wowote wa kuihama Chelsea kwani timu ya Chelsea ndio pekee ninayoiota usiku.

 

10 years ago

Mwananchi

Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi

Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amesema watu wote waliohusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow lazima wawajibishwe, huku akimtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kueleza kuwa hastahili kuwajibika kwa kuwa uwajibikaji wa sakata hilo siyo wa pamoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani