Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EDEN HAZARD AKANUSHA UVUMI WA KUHAMIA REAL MADRID

Nyota wa Chelsea FC Eden Hazard (jezi na 10) amekanusha habari kwamba anampango wa kuhamia timu ya Real Madrid ya Hispania. Mchezaji huyo tumaini la Chelsea FC ya Uingereza amesema hana mpango wowote wa kuihama Chelsea kwani timu ya Chelsea ndio pekee ninayoiota usiku.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Managing Madrid

Eden Hazard Recovery Update

Eden Hazard Recovery Update  Managing MadridGood news for Real Madrid: Positive update on injured influential star  CaughtOffsideReports: Real Madrid Identify New Target  Soccer LadumaDoctors sanitised Hazard's room before removing stitches  MARCA.comView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Mtanzania

Jose Mourinhoamkomalia Eden Hazard

Manchester United v Chelsea - Premier LeagueLONDON, ENGLAND

KOCHA wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho, amemwambia winga wake,Eden Hazard, ataendelea kuanzia benchi mpaka pale atakapofanya majukumu ya ukabaji kama vile Willian na Pedro.

Mchezaji huyo bora wa kulipwa England (PFA) msimu uliopita, juzi alianzia benchi wakati timu hiyo ilipoichapa Aston Villa mabao 2-0, ukiwa ni ushindi wao wa tatu msimu huu.

Mourinho baada ya mchezo huo amesema Hazard anatakiwa kufanya kazi ya ziada kushinda mtihani wa kurudisha nafasi yake.

“Nimemuweka...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Eden Hazard akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka nchini England. KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ndiye mchezaji bora wa mwaka nchini England. Hazard mwenye umri wa miaka 24, raia wa Ubelgiji, amefunga jumla ya mabao 18 katika mechi alizoichezea timu yake msimu huu kwenye michuano mbalimbali na kuisaidia Chelsea kutwaa Kombe la Capital One huku ikishika usukani katika msimamo wa Ligi Kuu ya England inayoelekea...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ndugai akanusha uvumi wa yeye kuugua



NA MOHAMMED ISSABAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana kwenye shughuli mbalimbali, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameibuka na kusema yupo hai na ni mzima wa afya. JOB NdugaiNdugai ambaye tokea kuanza kwa mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania alikuwa hajaongoza kikao chochote. Muda mwingi katika kikao hicho, kilikuwa kikitumia wenyeviti wakati Spika, Anne Makinda, anapokuwa hayupo bungeni. Akizungumza na Uhuru kwa njia ya simu jana, Ndugai (Kongwa-CCM),...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gardner Akanusha Uvumi wa Kuachana Mkewe Jack

Gardner Dibibi ambae ni mume wa mwigizaji wa filamu  Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amekanusha taarifa  zilizoenea mtandao na kwenye magazeti ya udaku kuwa ameachana mke wake Jack.

Gardner ameimbia Bongomovies.com kuwa taarifa za yeye kuacha na mkwe wake sio za kweli japo kuwa ni kweli walikuwa natofauti za kawaida na wameshazimaliza na pia amekanusha kuwa hakumpa talaka kama ilivyoripotiwa .

”“Taarifa hizo sio za kweli, sisi  tuko pamoja, tulikua na matatizo ya kawaida tu lakini...

 

9 years ago

Bongo5

Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams

Kuliibuka uvumi kuwa rapper Drake amemchumbia mcheza tennis mahiri Serena Williams ambaye inaaminika kuwa wanauhusiano licha ya kuwa wao binafsi hawajathibitisha. Baada ya taarifa hiyo kusambaa mtandaoni jana, mwakilishi wa Drake aliiambia TMZ kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. Jarida la OK liliandika story Alhamisi hii kuwa Drake alimchumbia Serena walipoenda Canada nyumbani kwao Drake, […]

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani