Chadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka 'Dhamira yetu sio madiwani pekee tutachukuwa mpaka halmashauri'.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZQc_f_YpOXw/XuUETTyAAlI/AAAAAAALtsA/ih3IX7o2W4YWqJFUKtoWVKjskCN5-JRdQCLcBGAsYHQ/s72-c/CHADEMA%2BTENA.png)
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya mitiani yote wanayopitia.
Hayo yamebainishwa na viongozi wa chama hicho mkoani Njombe wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza madiwani wanaotokana na chama hicho wa halmashauri ya mji wa Makambako kwa kuvumilia na kufanikiwa kumaliza kipindi chao cha miaka mitano.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe...
Michuzi