Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge upinzani wamsusia tena JK

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika akizungumza na Wabunge wa Kambi Upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuhusu msimamo wa wabunge wa umoja huo kutoendelea kushiriki vikao vilivyobaki vya bunge, Dodoma jana. Kutoka wa pili kulia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Rajabu Mbarouk Mohammed na Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Tundu Lissu. Picha na Edwin Mjwahuz
Dodoma. Historia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE BUNGE LA KATIBA

WAJUMBE karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, wametoka nje ya kikao cha leo jioni, wakipinga kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) chenye wajumbe wengi ndani ya bunge hilo, kuwaburuza. Wakati akitoa mchango wake, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba aliliambia Bunge kuwa wanashangazwa na kitendo cha CCM kutaka kutumia wingi wao, kutengeneza katiba ambayo hailingani na mawazo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Hapatoshi:Wabunge wa upinzani wadai ripoti imechakachuliwa

Hali ni tete. Ndiyo neno ambalo unaweza kulizungumza kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA WABUNGE WAFANYIKA BURUNDI LICHA YA UPINZANI KUSUSA

Zoezi la upigaji kura nchini Burundi. UCHAGUZI wa wabunge unaendelea nchini Burundi licha ya maandamano na ghasia dhidi ya uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kutaka kuwania muhula wa tatu. Habari zaidi, ingia hapa:===>>>http://wp.me/p6irf2-2f9

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa

Dodoma/Dar.  Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge

Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia katika mvutano na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli baada ya kuliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), kusitisha utaratibu wa kulazimisha watalii kulipa kila waingiapo kwenye hifadhi.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge marafiki wa Lowassa wajitosa tena kuwania ubunge.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati za kusaka urais, wamechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kupitia chama hicho.

Kabla ya hapo, kulikuwa na uvumi kuwa wabunge hao hawatachukua fomu kutokana na kukatwa kwa Lowassa katika kinyang’anyiro cha urais.

Baadhi ya wabunge hao ambao wamechukua fomu hizo na kuzirejesha jana ni pamoja na Kangi Lugola (Mwibara), Andrew Chenge...

 

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani