Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hapatoshi:Wabunge wa upinzani wadai ripoti imechakachuliwa

Hali ni tete. Ndiyo neno ambalo unaweza kulizungumza kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai kuchunguzwa Uganda

Rais Yoweri Museveni amelalamikiwa na baadhi ya wapinzani kuwa anawachunguza kwa maslahi yake binafsi

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai mageuzi Kenya

Maelfu wa wafuasi wa upinzani wamekusanyika katika bustani ya Uhuru Park mjini Nairobi kudai mageuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto, Filikunjombe wadai waziri alitaka kuiba ripoti

Viongozi wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe wamemtuhumu Waziri William Lukuvi kuwa alitaka kuiba ripoti ya kamati yao kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge upinzani wamsusia tena JK

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika akizungumza na Wabunge wa Kambi Upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuhusu msimamo wa wabunge wa umoja huo kutoendelea kushiriki vikao vilivyobaki vya bunge, Dodoma jana. Kutoka wa pili kulia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Rajabu Mbarouk Mohammed na Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Tundu Lissu. Picha na Edwin Mjwahuz
Dodoma. Historia...

 

11 years ago

GPL

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE BUNGE LA KATIBA

WAJUMBE karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, wametoka nje ya kikao cha leo jioni, wakipinga kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) chenye wajumbe wengi ndani ya bunge hilo, kuwaburuza. Wakati akitoa mchango wake, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba aliliambia Bunge kuwa wanashangazwa na kitendo cha CCM kutaka kutumia wingi wao, kutengeneza katiba ambayo hailingani na mawazo ya...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA WABUNGE WAFANYIKA BURUNDI LICHA YA UPINZANI KUSUSA

Zoezi la upigaji kura nchini Burundi. UCHAGUZI wa wabunge unaendelea nchini Burundi licha ya maandamano na ghasia dhidi ya uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kutaka kuwania muhula wa tatu. Habari zaidi, ingia hapa:===>>>http://wp.me/p6irf2-2f9

 

11 years ago

GPL

WABUNGE, NINI FAIDA YA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU KAMA HAMFANYII KAZI?

Nianze kwa kumuomba Mungu atuzidishie amani katika nchi yetu huku akitupa afya njema ili tuweze kumtukuza na kumsifu daima kwa wema wake kwetu. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh. Baada ya kusema hayo niingie katika mada ya leo ambapo nitazungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 iliyofichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wawe wamoja mijadala kuhusu Ripoti ya CAG, Mahakama ya Kadhi

Bunge jana lilianza mkutano wake wa 18 mjini Dodoma likiwa na masuala mengi mazito katika ajenda yanayopaswa kujadiliwa katika muda mfupi tu wa wiki mbili. Hicho ni kikao chake cha kwanza mwaka huu, ambacho kinakuja baada ya mkutano wake wa 16/17 uliofanyika Novemba mwaka jana na kugubikwa na mjadala mkali kuhusu uchotwaji wa fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Baadhi ya watendaji serikalini wamefikishwa mahakamani, huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali wakijiuzulu.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani