WABUNGE, NINI FAIDA YA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU KAMA HAMFANYII KAZI?
Nianze kwa kumuomba Mungu atuzidishie amani katika nchi yetu huku akitupa afya njema ili tuweze kumtukuza na kumsifu daima kwa wema wake kwetu. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh. Baada ya kusema hayo niingie katika mada ya leo ambapo nitazungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 iliyofichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali awasilisha bungeni ripoti ya ukaguzi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao. Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KAMA ANGELIJUA KESHO YAKE ANGESIMAMISHWA KAZI SIDHANI KAMA ANGEKUWEMO KWENYE HOTUBA YA JK
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Faida ya wabunge kutokuwa mawaziri
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Chadema wapata hati ya shaka ya Mkaguzi Mkuu
10 years ago
GPLMDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA
10 years ago
MichuziMDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA.
9 years ago
Vijimambo06 Sep
TUJIFUNZE NINI TOKA MAJIRANI ZETU KUHUSU FAIDA YA KUTANGAZA NCHI?
10 years ago
MichuziMDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZASERIKALI TANZANIA AKUTANA RAIS SHEIN
10 years ago
Vijimambo03 Dec
RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU