Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wapata hati ya shaka ya Mkaguzi Mkuu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata hati yenye shaka kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ya kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu zake zinazoishia Juni 2011/12 na 2012/13

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rorya waipa halmashauri yao hati yenye shaka

Unapofika kwenye makao ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, utavutiwa na majengo mazuri ya ghorofa na miundombinu yake iliyoboreshwa bila kusahau ngazi nzuri zilizojengwa kwa kuzingatia hali ya mtu.

 

10 years ago

Michuzi

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA.

  Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali Mstaafu Ludovick Utoah akitoa nasaha katika hafla ya kuagwa kwake aliyoandaliwa na taasisi ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchini. Mwenyekiti wa taasisi  ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchinin Bwana Chacha akimpongeza Bwana Utouh baada ya hotuba yake.Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma Zitto Kabwe  akimpongeza  CAG mstaafu katika hafla ya kuagwa kwake aliyoandaliwa na taasisi ya wakaguzi binafsi wa hesabu...

 

10 years ago

GPL

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA

Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali Mstaafu Ludovick Utoah akitoa nasaha katika hafla ya kuagwa kwake aliyoandaliwa na taasisi ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchini. Mwenyekiti wa taasisi  ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchini Bwana Chacha akimpongeza Bwana Utouh baada ya hotuba yake.…

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: nina shaka na Uchaguzi Mkuu

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amedai kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, huenda usiwe huru na haki kutokana na sababu kadhaa, ikiwamo uamuzi wa Serikali kununua magari ya polisi zaidi ya 700 kwa lengo la kukabiliana na wapinzani.

 

10 years ago

Michuzi

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZASERIKALI TANZANIA AKUTANA RAIS SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania Ludovick Utoh alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania Ludovick Utoh alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad nyaraka baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali awasilisha bungeni ripoti ya ukaguzi


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao. Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za...

 

11 years ago

GPL

WABUNGE, NINI FAIDA YA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU KAMA HAMFANYII KAZI?

Nianze kwa kumuomba Mungu atuzidishie amani katika nchi yetu huku akitupa afya njema ili tuweze kumtukuza na kumsifu daima kwa wema wake kwetu. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh. Baada ya kusema hayo niingie katika mada ya leo ambapo nitazungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 iliyofichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka...

 

10 years ago

Michuzi

JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG  Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa  Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani