Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rorya waipa halmashauri yao hati yenye shaka

Unapofika kwenye makao ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, utavutiwa na majengo mazuri ya ghorofa na miundombinu yake iliyoboreshwa bila kusahau ngazi nzuri zilizojengwa kwa kuzingatia hali ya mtu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema wapata hati ya shaka ya Mkaguzi Mkuu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata hati yenye shaka kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ya kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu zake zinazoishia Juni 2011/12 na 2012/13

 

10 years ago

Habarileo

Kwa miaka 5 hakuna h/shauri yenye hati safi

IMEELEZWA kuwa kwa miaka mitano mfululizo hakuna halmashauri nchini iliyopata hati safi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri za Mwanza vinara hati isiyoridhisha

HALMASHAURI za Jiji la Mwanza zimeelezwa kuongoza kwa kuwa na hati isiyoridhisha baada ya kufanyiwa ukaguzi wa mahesabu yake na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Wakati hali ikiwa...

 

5 years ago

Michuzi

Malima aipongeza Halmashauri ya Bunda kwa hati safi


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Mkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017.

Akizungumza hivi karibuni wakati wa uwasilishaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Selikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima aliipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017,...

 

5 years ago

Michuzi

RIDHIWANI AIKABIDHI HALMASHAURI YA CHALINZE MABATI, MATANKI YA MAJI YENYE GHARAMA YA MIL.13.9

NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amekabidhi mabati 1,000 kwa halmashauri ya Chalinze ,pamoja na tanki za maji na mabeseni Tisa vyote vikiwa na gharama ya milioni 13.9.
Kati ya mabati hayo 600  yataelekezwa katika miradi ya halmashauri ya sekta ya elimu na afya na 400 yatapangiwa kazi na matakwa ya mfuko wa jimbo. 
Akizungumzia kuhusu msaada huo ,Ridhiwani alieleza kuwa , shule ya sekondari Changarikwa inapatiwa mabati 90,Msata 90,Chamakweza mabati...

 

11 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi yaunda Bodi mpya ya Afya yenye wajumbe 11 kwa miaka mitatu

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani, Singida Manju Msambya akizungumza na wajumbe wa bodi ya afya ya Wikaya ya Ikungi kwenye ukumbi wa Lake Hill Singida Motel, wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya halmashauri hiyo.

Na Hillary Shoo,IKUNGI.

Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida imeunda bodi mpya ya afya yenye wajumbe 11 na kamati za afya za vituo kwa kipindi cha miaka mitatu ili kufanikisha kuwepo kwa miundo ya kijamii na kitaasisi ambayo itaongeza madaraka na mamlaka ya jamii juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

JKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...

 

5 years ago

Michuzi

Madiwani wataka maridhiano kesi dhidi ya halmashauri yao zimalizwe

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Akiwasilisha taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali kwa Mwaka 2018/2019 mweka Hazina wa Halmashauri ya mji Njombe Bi. Dorcas Mkello amesema kuwa Halmashauri ilipata Hati inayoridhisha (Hati Safi) yenye masuala mawili ya msisitizo ambapo moja ni miradi ya maji kuhamia Ruwasa na pili ikiwa ni kesi za madai yenye kiasi cha Tshs. 215,384,844 ambapo kama uamuzi utatoka juu ya walalamikaji Halmashauri itatakiwa kulipa fedha hizo.

Wakitoa mapendekezo yao wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani