Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAWAKA WACHEZAJI 9 WA KANEMBWA JKT KUWASILISHA UTETEZI

Wachezaji tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea mbele ya Kamati ya Nidhamu itakayokutana Jumapili (Februari 9 mwaka huu).  Utetezi huo unaweza kuwa wa mdomo kwa walalamikiwa kufika wenyewe mbele ya kamati itakayokutana saa 4 kamili asubuhi au kuuwasilisha kwa njia ya maandishi.  Kamati ilikutana jana Jumatano (Februari 5 mwaka huu) kusikiliza malalamiko dhidi ya wachezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Uongozi si hati miliki

MAFANIKIO ni jambo la kujivunia kwa mwanasiasa yeyote aliyekabidhiwa dhamana ya uongozi wa taifa lolote lenye kiu ya kupiga hatua kubwa za kimaendeleo pamoja na kuboresha maisha ya wananchi wake....

 

10 years ago

Habarileo

Miliki maeneo ya madini kufutwa

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneSERIKALI imetangaza kuanza kufuta umiliki wa maeneo yaliyotelekezwa na wachimba madini kote nchini, ikiwa ni pamoja na kunyang’anya leseni zilizoombwa na wachimbaji ambao wameshindwa kuzilipia.

 

9 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbatia: Mrema hana hati miliki Jimbo la Vunjo

Jina la James Mbatia siyo geni miongoni mwa Watanzania hususani Jimbo la Vunjo kwani ndiye alikuwa Mbunge wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi mwaka 1995.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AKANUSHA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA KIGOMA KULA PESA YA TASAF

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma  MKUU Wa Wilaya ya Kigoma Mhe  Ramadhani Maneno amewataka wananchi wa Wilaya ya Kigoma kuacha kuwashutumu viongozi wa wilaya na Halmashauri kuwa wamekula pesa za TASAF shilingi milioni 183,539 zilizotolewa na serekali kwaajili ya kusaidia kaya maskini Wilayani humo. Mhe  Maneno amewaambia wanahabari ofisini kwake leo kuwa pesa iliyotolewa na TASAF kwa ajili ya kusaidia kaya maskini na zinazoishi katika mazingira magumu katika Wilaya ya Kigoma ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu atuma kikosi kazi kumaliza nyoka Urambo

SERIKALI imetuma kikosi maalum cha askari wa kupamba na ujangili Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora ili kukabiliana na nyoka aina ya Koboko ambao hadi sasa wamesababisha vifo vya watu wanne....

 

10 years ago

Dewji Blog

Kijiji cha Gongoni wilayani Kilosa waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanawake wapata hati miliki za ardhi

 Angelina Mziray Katibu Mkuu wa Women and Poverty alleviation in Tanzania  , Akiwakaribisha wageni Mbalimbali waliofika katika Sherehe za Kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo wao wameadhimisha mapema,Katika Ufunguzi Alisema kuwa Shirika lisilo ka Kiserikali la Waupata wakishirikiana na OXFAM wamesaidia Kijiji hicho katika kuleta maendeleo mbalimbali Tangu mwaka 2006 ikiwa ni pamoja na Kilimo cha mpunga, Matumizi Bora ya Ardhi, Ambapo Pia aliwashukuru OXFAM kwa kuleta ufugaji bora wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani