Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miliki maeneo ya madini kufutwa

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneSERIKALI imetangaza kuanza kufuta umiliki wa maeneo yaliyotelekezwa na wachimba madini kote nchini, ikiwa ni pamoja na kunyang’anya leseni zilizoombwa na wachimbaji ambao wameshindwa kuzilipia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Uongozi si hati miliki

MAFANIKIO ni jambo la kujivunia kwa mwanasiasa yeyote aliyekabidhiwa dhamana ya uongozi wa taifa lolote lenye kiu ya kupiga hatua kubwa za kimaendeleo pamoja na kuboresha maisha ya wananchi wake....

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI

Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje akiwakaribisha wajumbe wa mkutano wa kujadili ushirikishwaji wazawa (local content) katika sekta ya madini uliofanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Waliokaa meza kuu kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Kitengo cha Uchumi na Biashara, Salim Salim, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ndalo Kulwijila na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele. Mwanasheria wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Rose Mponguliana akiwasilisha mada kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

TEITI YAWANOA WANDISHI WA HABARI WA BIASHARA NA MADINI JUU YA UWAI SEKTA YA MADINI

41Mwenyekiti wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI), Jaji Mstaafu, Mark Bomani akifungua warsha ya siku moja kwa wadau na wandishi wa habari za biashara, mkutano uliofanyika Ledger Plaza Bahari Beach Hotel jijini Dar es Salaam, Mei 7, mwaka huu.1Afisa mahusiano Mkuu wa TEITI, Catherine Mbatia akimkaribisha rasmi Mwenyekit wa TEITI, Jaji Mark Boman kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa Warsha...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika

Na Asteria Muhozya, Bangkok,   Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali hususani madini ya vito na usonara tofauti na nchi nyingi za Kiafrika, yakiwemo madini ya Tanzanite, Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand, limehaidi kuisaidia Tanzania kuikuza sekta hiyo, katika nyanja za kibiashara na kiuchumi ili kuifanya Tanzania kuwa, kitivo kikubwa cha madini barani Afrika, huku ikianzia na kuboresha maonesho ya kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani