TFF YAWAKA WACHEZAJI 9 WA KANEMBWA JKT KUWASILISHA UTETEZI
Wachezaji tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea mbele ya Kamati ya Nidhamu itakayokutana Jumapili (Februari 9 mwaka huu). Utetezi huo unaweza kuwa wa mdomo kwa walalamikiwa kufika wenyewe mbele ya kamati itakayokutana saa 4 kamili asubuhi au kuuwasilisha kwa njia ya maandishi. Kamati ilikutana jana Jumatano (Februari 5 mwaka huu) kusikiliza malalamiko dhidi ya wachezaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-4A3hHrd55Wz29R2yFA1fQA3fRY5AHqQZrhAA9cpYjBq2LXf-7TaDyDUneNTFd4Y4SfxpMlxWlbql9WdwUeoiaZ/1tff.jpg?width=650)
WACHEZAJI 9 KUWASILISHA UTETEZI KWA KUMPIGA MWAMUZI
10 years ago
MichuziJKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Yanga kuwasilisha muhtasari wa mkutano TFF
UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema utawasilisha muhtasari wa mkutano wao mkuu wa Juni Mosi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kukamilisha taratibu zake. Yanga ilifanya mkutano wake...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7VHpXk3GVUE/U3ir6jxh-FI/AAAAAAAFjgg/lVjcpSAahY4/s72-c/New+Picture+(7).bmp)
JKT Ruvu yaingia mtaani kusajili kwa vipaji vya wachezaji
![](http://1.bp.blogspot.com/-7VHpXk3GVUE/U3ir6jxh-FI/AAAAAAAFjgg/lVjcpSAahY4/s1600/New+Picture+(7).bmp)
Zoezi la kusaka wachezaji hao ni la wazi na meneja wa timu hiyo, Joel Frank amewataka wachezaji wote wenye nia ya kucheza ligi kuu msimu ujao kufika kwa wingi katika uwanja huo kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Frank alisema kuwa wameamua kutafuta wachezaji kwa mtindo huo kwa lengo la kuona uwezo wao halisi na wala si kwa kukisia kama...
10 years ago
TheCitizen21 Jan
Stand United, Oljoro JKT players incur TFF wrath
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xX3WJoquoao/VfgLHORkTBI/AAAAAAABnzw/7h9K2kSi2bU/s72-c/12032990_1631176853811708_6026384044953583507_n.jpg)
TFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-xX3WJoquoao/VfgLHORkTBI/AAAAAAABnzw/7h9K2kSi2bU/s640/12032990_1631176853811708_6026384044953583507_n.jpg)
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....