TFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-xX3WJoquoao/VfgLHORkTBI/AAAAAAABnzw/7h9K2kSi2bU/s72-c/12032990_1631176853811708_6026384044953583507_n.jpg)
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wvr0XQGcwVQ/VnKy2x0xdsI/AAAAAAAINIM/F7DhfVd4yjs/s72-c/baf.png)
WACHEZAJI WAPYA WENYE ITC RUKSA KUTUMIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wvr0XQGcwVQ/VnKy2x0xdsI/AAAAAAAINIM/F7DhfVd4yjs/s640/baf.png)
TFF itatoa leseni ya usajili wa mchezaji ambaye amethibitishwa kupitia mtandao wa TMS baada ya kuwepo nyaraka zote; mkataba uliomalizika, barua ya kuvunja mkataba, barua ya kuachwa (release letter), mkataba mpya na uthibitisho wa...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Julio atoa ruksa wachezaji kula bata
Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Martha Mboma, Dar es Salaam
BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wake kwenda mapumziko.
Mwadui ambayo inashika nafasi ya tano ikiwa na pointi 22 nyuma ya Simba ambao wana alama 24, ikiwa ni msimu wake wa kwanza baada ya kushuka miaka kadhaa iliyopita mchezo wake wa mwisho ilitoka sare ya bao 1-1 na vijana hao wa...
9 years ago
Bongo518 Sep
Wakazi: Mil20 za kufanya kampeni si kitu ukilinganisha na sera nzuri zitakazonipa mil200’, adai hashangai wasanii kutumika kwenye kampeni (Video)
9 years ago
Bongo514 Oct
Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Mihadhara ya dini, siasa ruksa Mtwara
SERIKALI mkoani Mtwara, imeondoa kimya kimya amri yake ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa na kidini na kueleza kuwa mikutano hiyo itaendelea kulingana na taratibu zilizopo. Wakati Mtwara ukibainisha kuondolewa kwa...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa
SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Jezi za Kili Stars hazikuvunja kanuni-TFF
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
TFF yataka jezi mpya za soka Tanzania