Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mihadhara ya dini, siasa ruksa Mtwara

SERIKALI mkoani Mtwara, imeondoa kimya kimya amri yake ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa na kidini na kueleza kuwa mikutano hiyo itaendelea kulingana na taratibu zilizopo. Wakati Mtwara ukibainisha kuondolewa kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa

SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.

 

9 years ago

Vijimambo

TFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....

 

10 years ago

Mwananchi

JK- Mabalozi msichanganye dini na siasa

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, wamekuwa wakitumia dini kuwaunga mkono wanasiasa jambo ambalo ni hatari.

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa bila dini ni uendawazimu

Historia ya siasa duniani haitengani kwa kiwango kikubwa na historia ya dini. Vitu hivi viwili kwa maisha ya mwanadamu vimekuwa sambamba na vyenye mafanikio kwa jamii yoyote ile duniani. Kwa upande mwingine dini na siasa vimeleta matatizo makubwa duniani.

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI LAMALIZIKA MKOANI MTWARA

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara katika siku ya pili ya kongamano la viongozi hao kuhusiana na rasilimali zetu za gesi asilia, mafuta na madinikwa amani na maendeleo ya Tanzania. Kongamano ambalo lilifanyika leo katika ukumbi wa VETA, Mtwara. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Yona Killagani akitoa mada juu ya Mipango ya Matumizi ya gesi asilia Lindi na Mtwara katika...

 

10 years ago

Habarileo

JK aonya chokochoko za siasa kupitia dini

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Parokia Mama Mwenye Huruma, Ngokolo mjini Shinyanga jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini wanaoshabikia siasa watubu’

Katibu Mkuu wa makanisa ya Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota amesema viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa, wanapaswa kutubu kwa Mungu kwa kuwa nyadhifa zao haziwaruhusu kufanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani