KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI LAMALIZIKA MKOANI MTWARA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara katika siku ya pili ya kongamano la viongozi hao kuhusiana na rasilimali zetu za gesi asilia, mafuta na madinikwa amani na maendeleo ya Tanzania. Kongamano ambalo lilifanyika leo katika ukumbi wa VETA, Mtwara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Yona Killagani akitoa mada juu ya Mipango ya Matumizi ya gesi asilia Lindi na Mtwara katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKongamano la Viongozi wa Dini Mkoa wa Lindi na Mtwara laanza hii leo
10 years ago
Habarileo15 Feb
Viongozi wa dini kuzindua kongamano la amani Mwanza
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini jijini hapa wanatarajiwa kuzindua Kongamano la Amani la siku moja linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Furahisha vilivyopo jijini hapa.
11 years ago
Michuzi
KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAMALIZIKA LEO JIJINI MWANZA


11 years ago
Michuzi.jpg)
Viongozi wa Dini Mikoa ya Lindi na Mtwara kuhudhuria mafunzo ya gesi asilia na mafuta nchini Thailand
Jumla ya Viongozi 19 wa Dini kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wanatarajia kwenda nchini Thailand kuanzia tarehe 26 Aprili mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mafunzo katika masuala ya gesi asilia na mafuta.
Ziara hiyo inatokana na juhudi za serikali katika kuhakisha elimu kuhusu masuala ya gesi asilia na mafuta inatolewa kwa wananchi wa kada mbalimbali ili waweze kufahamu mchakato mzima wa upatikanaji wa gesi asilia na mafuta, faida zake katika nyanja za ...
10 years ago
Michuzi
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10