Kongamano la Viongozi wa Dini Mkoa wa Lindi na Mtwara laanza hii leo
Na Abdulaziz Video, Mtwara Kongamano kubwa la Viongozi wa Dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara lililoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini limeanza leo katika manispaa ya Mtwara/mikindani kwa Viongozi hao pamoja na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kwa kutembelea eneo la Mnazibay/Msimbati sehemu ambayo imegundulika gesi asilia pamoja kukagua ujenzi wa eneo la uchakataji wa Gesi hiyo. Katika ukaguzi huo Viongozi hao wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Bw Eliakim Maswi baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI LAMALIZIKA MKOANI MTWARA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4vD_nUhc8WI/U1qP4mb39vI/AAAAAAAFdCM/tEd9c8kGBhg/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Viongozi wa Dini Mikoa ya Lindi na Mtwara kuhudhuria mafunzo ya gesi asilia na mafuta nchini Thailand
Jumla ya Viongozi 19 wa Dini kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wanatarajia kwenda nchini Thailand kuanzia tarehe 26 Aprili mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mafunzo katika masuala ya gesi asilia na mafuta.
Ziara hiyo inatokana na juhudi za serikali katika kuhakisha elimu kuhusu masuala ya gesi asilia na mafuta inatolewa kwa wananchi wa kada mbalimbali ili waweze kufahamu mchakato mzima wa upatikanaji wa gesi asilia na mafuta, faida zake katika nyanja za ...
11 years ago
MichuziNHIF LINDI WAWAPA SOMO VIONGOZI WA TALGWU MKOA WA LINDI
10 years ago
Habarileo15 Feb
Viongozi wa dini kuzindua kongamano la amani Mwanza
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini jijini hapa wanatarajiwa kuzindua Kongamano la Amani la siku moja linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Furahisha vilivyopo jijini hapa.
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...
9 years ago
MichuziVIONGOZI WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAFANYA ZIARA LINDI NA MTWARA
Lengo kuu la ziara hiyo ni kujionea shughuli zinazoendelea kwenye mradi wa gesi asilia pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa maeneo hayo kuhusu masuala mbalimbali ya shughuli zao za kila siku.
Maeneo ambayo yalitembelewa na viongozi hao ni pamoja...