Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK- Mabalozi msichanganye dini na siasa

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, wamekuwa wakitumia dini kuwaunga mkono wanasiasa jambo ambalo ni hatari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Msiingize dini katika siasa, Rais awaambia mabalozi


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands...

 

9 years ago

Michuzi

ACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA AMANI

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi hao na mabalozi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 17, 2015. Mabalozi walishinda kwa mikwaju ya penati 3-2 na kutwaa kombe. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, na wakwanza ushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Acacia, anayeshughulikia ustawi wa...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI YAJIFUA NA MABALOZI, YAKABIDHIWA MIPIRA

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa tatu kushoto) na wenzake wakichezea mpira kujaribu viwango vya mipira hiyo baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, suleiman Kova (wa pili kulia), wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani inayoundwa na Viongozi wa Dini. Mazoezi hayo yalifanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, sambamba na timu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zaoTanzania,kwa ajili ya maandalizi ya...

 

5 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini waahidi kuwa mabalozi wa TCRA, kutoa elimu kwa waumini


KAMATI ya Amani mkoa wa Morogoro imesema kuwa elimu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano imefika kwa wakati mwafaka kutokana na teknolojia hiyo kukua kila siku.
Wameyasema hayo wakati wa Semina ya Kamati ya Amani ya Mkoa  Morogoro inayotolewa na  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutoa elimu juu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano kwa kujinga na Uhalifu unapotumia huduma hizo.
TCRA ipo katika Kampeni ya SIRUBUNIKI kuwa Mjanja ambayo inakwenda katika mikoa yote ya Tanzania Bara na...

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa bila dini ni uendawazimu

Historia ya siasa duniani haitengani kwa kiwango kikubwa na historia ya dini. Vitu hivi viwili kwa maisha ya mwanadamu vimekuwa sambamba na vyenye mafanikio kwa jamii yoyote ile duniani. Kwa upande mwingine dini na siasa vimeleta matatizo makubwa duniani.

 

10 years ago

Habarileo

JK aonya chokochoko za siasa kupitia dini

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Parokia Mama Mwenye Huruma, Ngokolo mjini Shinyanga jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini wanaoshabikia siasa watubu’

Katibu Mkuu wa makanisa ya Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota amesema viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa, wanapaswa kutubu kwa Mungu kwa kuwa nyadhifa zao haziwaruhusu kufanya hivyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mihadhara ya dini, siasa ruksa Mtwara

SERIKALI mkoani Mtwara, imeondoa kimya kimya amri yake ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa na kidini na kueleza kuwa mikutano hiyo itaendelea kulingana na taratibu zilizopo. Wakati Mtwara ukibainisha kuondolewa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani