TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI YAJIFUA NA MABALOZI, YAKABIDHIWA MIPIRA
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa tatu kushoto) na wenzake wakichezea mpira kujaribu viwango vya mipira hiyo baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, suleiman Kova (wa pili kulia), wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani inayoundwa na Viongozi wa Dini. Mazoezi hayo yalifanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, sambamba na timu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zaoTanzania,kwa ajili ya maandalizi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kamanda Mpinga atembelea kambi ya timu ya kamati Amani ya viongozi wa dini mkoa wa Dar
Kamanda Mpinga, akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
*Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa Arusha mwezi ujao
Mchungaji wa Kanisa la Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch. Alphonce Temba (kulia) akimramba chenga Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mashariki ya Pwania, George Fupe, wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya...
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...
9 years ago
MichuziACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA AMANI
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani
VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Pinda aalikwa futari ya kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini wa Dar na Mwanza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mke wa Waziri Mkuu , Mama Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AISHUKURU NA KUIPONGEZA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA MWANZA
10 years ago
Dewji Blog03 May
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AALIKWA FUTARI NA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI WA DAR ES SALAAM NA MWANZA