Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda Mpinga atembelea kambi ya timu ya kamati Amani ya viongozi wa dini mkoa wa Dar

Kamanda Mpinga, akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.

*Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa Arusha mwezi ujao

Mchungaji wa Kanisa la Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch. Alphonce Temba (kulia) akimramba chenga Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mashariki ya Pwania, George Fupe, wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA

  Wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kati yao na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi huu. 
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.

 Kamanda Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.   Kamanda Mpiga...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI YAJIFUA NA MABALOZI, YAKABIDHIWA MIPIRA

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa tatu kushoto) na wenzake wakichezea mpira kujaribu viwango vya mipira hiyo baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, suleiman Kova (wa pili kulia), wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani inayoundwa na Viongozi wa Dini. Mazoezi hayo yalifanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, sambamba na timu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zaoTanzania,kwa ajili ya maandalizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AISHUKURU NA KUIPONGEZA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA MWANZA

Kuona jinsi Rais Kikwete alivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aalikwa futari ya kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini wa Dar na Mwanza

IMGL4212

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda   akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL4222

IMGL4252

IMGL4204

Mke wa Waziri Mkuu , Mama   Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika  futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AALIKWA FUTARI NA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI WA DAR ES SALAAM NA MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015.Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaan Julai 3, 2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Viongozi wa kamati ya...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani

VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akifungua Mkutano wa viongozi wa dini mkoani Dodoma uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.Picha na John Banda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime akifafanua jinsi jeshi la polisi Dodoma lilivyojipanga kusimamia amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu kwenye kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
  Viongozi wa dini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani