Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa Dini waahidi kuwa mabalozi wa TCRA, kutoa elimu kwa waumini


KAMATI ya Amani mkoa wa Morogoro imesema kuwa elimu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano imefika kwa wakati mwafaka kutokana na teknolojia hiyo kukua kila siku.
Wameyasema hayo wakati wa Semina ya Kamati ya Amani ya Mkoa  Morogoro inayotolewa na  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutoa elimu juu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano kwa kujinga na Uhalifu unapotumia huduma hizo.
TCRA ipo katika Kampeni ya SIRUBUNIKI kuwa Mjanja ambayo inakwenda katika mikoa yote ya Tanzania Bara na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Mabingwa Standard Chartered TZ waahidi kuwa mabalozi wazuri

Wachezaji wa timu ya Dar es Salaam Corridor Group (DCG)  ya Tanzania wameahidi kuwa mabalozi wazuri wa soka baada ya mafunzo waliyopata kutoka kwa makocha wa Liverpool.
Mafunzo hayo yaliyoandaliwa chini ya udhamini wa benki ya  Standard Chartered Tanzania yaliwahusisha wachezaji sita ambao walikuwa chini ya gwiji wa zamani wa timu ya Liverpool John Aldridge.
Wachezaji hao ni  Salim  Kuziwa, Michael Lyimo, Rafael  Kutoka, Yusuph Lugonzo, Godfrey Waninda na Abdallah Maguzo.
Nahodha wa DCG,...

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni kugawa waumini'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk Merry Nagu ameasa viongozi wa dini zote nchini, kutowagawa waumini wao kwa misingi ya vyama vyao.

 

10 years ago

Habarileo

Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

TCRA yawaonya viongozi wa dini na mitandao ya kijamii

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka viongozi wa dini kutumia nafasi kukemea juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwa waumini wao na kuelimisha madhara yanayoweza kusababishwa na teknolojia hiyo katika jamii.

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WILAYANI KARAGWE WAANDAMANA KUMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU IBAADA DC AWAPOKEA KWA NIABA YAKE NA KUTOA NENO.

 Viongozi wa dini wilayani Karagwe wakiwa kwenye maandamanoViongozi wa madhehebu  ya Dini wilayani Karagwe wakimsikiliza mkuu wa wilaya baada ya kumaliza maandamano yao.
 Askofu Almachius Rweyongeza mwenye kanzu nyeupe pamoja na viongozi wengine wa dini wakiongea na viongozi wenzao wa dini.Askofu Almachius Rweyongeza kulia akiongea na viongozi wenzake wa dini baada ya kupokea maandamano ya Amani yaliyolenga kumshukuru Rais Magufuli kwa kutofunga nyumba za ibaada na kuwaruhusu watanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa dini washahuriwa kuwapa muda waumini wao kuielewa Katiba Pendekezwa

DSC04751

Katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) CCM manispaa ya Singida, Khalid Hussein, akihamasisha wakazi wa kata ya Utemini manispaa ya Singida, kusoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa ili waweze kutoa maamuzi sahihi wakati wa kupiga kura Tanzania iweze kupata Katiba itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo. DSC04728 Mwenyekiti UVCCM kata ya Utemini Abudulkarimu Hussein akifungua mkutano wa hadhara ambao katibu UVCCM manispaa ya Singida,aliutumia kuhamasisha vijana na wananchi kwa ujumla...

 

9 years ago

Michuzi

ACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA AMANI

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi hao na mabalozi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 17, 2015. Mabalozi walishinda kwa mikwaju ya penati 3-2 na kutwaa kombe. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, na wakwanza ushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Acacia, anayeshughulikia ustawi wa...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI YAJIFUA NA MABALOZI, YAKABIDHIWA MIPIRA

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa tatu kushoto) na wenzake wakichezea mpira kujaribu viwango vya mipira hiyo baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, suleiman Kova (wa pili kulia), wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani inayoundwa na Viongozi wa Dini. Mazoezi hayo yalifanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, sambamba na timu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zaoTanzania,kwa ajili ya maandalizi ya...

 

10 years ago

GPL

NHIF YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA VIONGOZI WA SACCOS ZA WAJASIRIAMALI MANSIPAA YA ILALA

Mkugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani