Siasa bila dini ni uendawazimu
Historia ya siasa duniani haitengani kwa kiwango kikubwa na historia ya dini. Vitu hivi viwili kwa maisha ya mwanadamu vimekuwa sambamba na vyenye mafanikio kwa jamii yoyote ile duniani. Kwa upande mwingine dini na siasa vimeleta matatizo makubwa duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Oct
'Viongozi wa dini acheni siasa'
KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
JK- Mabalozi msichanganye dini na siasa
9 years ago
Mwananchi12 Oct
‘Viongozi wa dini wanaoshabikia siasa watubu’
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Gwajima: Huwezi kutenganisha siasa na dini
NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM
MCHUNGAJI kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema viongozi wa dini hawawezi kujitenga na siasa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu katika jamii.
Gwajima alitoa kauli hiyo wakati akitunukiwa tuzo ya heshima ya udaktari kutoka katika Chuo Kikuu cha Biblia na Theolojia cha Omega Global (OGU) cha Afrika Kusini, jijini Dar es Salaam juzi.
Alisema kumekuwa na dhana kwamba viongozi wa dini kujihusisha na siasa ni kwenda kinyume na kazi...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Mihadhara ya dini, siasa ruksa Mtwara
SERIKALI mkoani Mtwara, imeondoa kimya kimya amri yake ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa na kidini na kueleza kuwa mikutano hiyo itaendelea kulingana na taratibu zilizopo. Wakati Mtwara ukibainisha kuondolewa kwa...
10 years ago
Habarileo13 Apr
JK aonya chokochoko za siasa kupitia dini
RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJLxegAs*00gE6EfMvOIKMVSc1e2iUX3QXQW-UsyfoHaBGbcHMmTYQL4H4hwFnVMIAXx7tFph3R93Yw8osE3Q9V/ndoakatiba.jpg?width=650)
KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI
10 years ago
Habarileo05 Jun
Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
TASAF haina dini wala siasa-Mwamanga
NA SOPHIA WAKATI,TANGA
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF),Ladislaus Mwamanga, ameitaka jamii kuelewa kuwa chombo hicho ni cha serikali na hakina mwingiliano wa dini, wala itikadi yoyote ya kisiasa.
Alisema lengo la TASAF ni kuonyesha uwajibikaji na kuwezesha wananchi wote kuwa na maisha bora.
Mwamanga aliyasema hayo jana, mkoani hapa, alipokuwa akizindua kikao kilichojumuisha waandishi, waratibu, wahasibu na maofisa wanaofuatilia shughuli za mfuko huo.
Alisema serikali...