Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jezi za Kili Stars hazikuvunja kanuni-TFF

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetetea kitendo cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kutumia jezi ya mazoezi yenye nembo ya mdhamini katika mashindano ya Chalenji yanayoendelea Ethiopia, likidai kuwa halijavunja kanuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0

Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yataka jezi mpya za soka Tanzania

Shirikisho la kandanda Tanzania linataka kubadili jezi za timu ya taifa kutoka zilizopo sasa

 

10 years ago

Mwananchi

TFF isibadili kanuni kuwafurahisha wachache

Kanuni ni neno la Kiswahili ambalo limezoeleka kutumika katika maisha ya kila siku. Kulingana na Kamusi ya Kiswahili Sanifu linaelezwa kuwa na maana ya desturi, kawaida, kaida, taratibu, nguzo, masharti au mila.

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS KUTUMIA JEZI ZA ADIDAS

Taifa Stars wakiwa ndani ya uzi mpya wa Adidas. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa vya michezo. Kufuatia makubaliano hayo TFF tulipatiwa vifaa kadhaa vya Adiads kwa ajili ya timu ya Taifa ya wakubwa (Taifa Stars). Vifaa hivyo zikiwemo jezi tulianza kuvitumia kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi afafanua jezi mpya Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...

 

10 years ago

Michuzi

shindano la ubunifu wa jezi ya Taifa Stars

Katika kuelekea shindano la kubuni jezi mpya ya Taifa Stars, huyu mdau ametutumia  picha hii ikionyesha ubunifu wake... je mnasemaje?

 

9 years ago

Vijimambo

TFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani