Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi afafanua jezi mpya Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa TFF Jamal Malinzi apokea jezi kutoka kampuni ya Proin kwaajili ya mashindano ya Women Taifa Cup

unnamed

Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza (kushoto) akimkabidhi Jezi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi kwaajili ya Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa Women Cup yanayotarajiwa kutimbua vumbi tarehe 1 January 2015.

Na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

Mkurugenzi wa makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza amkabidhi jezi Rais wa TFF, Mh Jamal Malinzi kwaajili ya michuano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa...

 

9 years ago

Mwananchi

DED Kahama afafanua ujenzi stendi mpya

Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, imetoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa eneo la Mbulu baada ya iliyopo kulemewa na wingi wa magari, hali inayosababisha kuwapo kwa msongamano.     

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS KUTUMIA JEZI ZA ADIDAS

Taifa Stars wakiwa ndani ya uzi mpya wa Adidas. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa vya michezo. Kufuatia makubaliano hayo TFF tulipatiwa vifaa kadhaa vya Adiads kwa ajili ya timu ya Taifa ya wakubwa (Taifa Stars). Vifaa hivyo zikiwemo jezi tulianza kuvitumia kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia...

 

10 years ago

Michuzi

shindano la ubunifu wa jezi ya Taifa Stars

Katika kuelekea shindano la kubuni jezi mpya ya Taifa Stars, huyu mdau ametutumia  picha hii ikionyesha ubunifu wake... je mnasemaje?

 

9 years ago

Mwananchi

Jezi za Kili Stars hazikuvunja kanuni-TFF

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetetea kitendo cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kutumia jezi ya mazoezi yenye nembo ya mdhamini katika mashindano ya Chalenji yanayoendelea Ethiopia, likidai kuwa halijavunja kanuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Malinzi awajaza mapesa Stars

Wakati nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiuelezea ushindi wao wa nyumbani kuwa ni zawadi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, rais huyo amewazawadia wachezaji hao Sh1 milioni kila mmoja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi awatia usongo Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, juzi aliungana na wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, mjini Gaborone, Botswana kuwahamasisha, ikiwa ni maandalizi ya mechi...

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi awapa tano Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Watanzania wote kwa ushindi waliopata dhidi ya Malawi juzi.

 

9 years ago

Mtanzania

Malinzi asikitishwa matokeo Twiga Stars

malinziNA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, amesikitishwa na matokeo mabovu ambayo timu ya Twiga Stars inayapata katika michuano ya All African Games inayoendelea nchini Congo Brazzaville.

Malinzi alitoa kauli hiyo jana, akidai matokeo hayo mabovu yanatokana na kukosa ligi ya Taifa ya soka la wanawake, ambayo ingesaidia kuibua vipaji lukuki.

“Tunafungwa kwa sababu hakuna Ligi ya mchezo huu, tunatarajia kuanzisha Ligi ambayo tutazalisha wachezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani