Malinzi awajaza mapesa Stars
Wakati nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiuelezea ushindi wao wa nyumbani kuwa ni zawadi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, rais huyo amewazawadia wachezaji hao Sh1 milioni kila mmoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Malinzi awatia usongo Stars
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, juzi aliungana na wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, mjini Gaborone, Botswana kuwahamasisha, ikiwa ni maandalizi ya mechi...
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Malinzi asikitishwa matokeo Twiga Stars
NA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, amesikitishwa na matokeo mabovu ambayo timu ya Twiga Stars inayapata katika michuano ya All African Games inayoendelea nchini Congo Brazzaville.
Malinzi alitoa kauli hiyo jana, akidai matokeo hayo mabovu yanatokana na kukosa ligi ya Taifa ya soka la wanawake, ambayo ingesaidia kuibua vipaji lukuki.
“Tunafungwa kwa sababu hakuna Ligi ya mchezo huu, tunatarajia kuanzisha Ligi ambayo tutazalisha wachezaji...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Malinzi amwengua Kim uteuzi Stars
9 years ago
Habarileo09 Oct
Malinzi awapa tano Taifa Stars
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Watanzania wote kwa ushindi waliopata dhidi ya Malawi juzi.
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Malinzi afafanua jezi mpya Stars
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iM0ALzLFttg/VSbSTBABGbI/AAAAAAAHP9E/U1YhhCJdDAY/s72-c/417589_567994973218878_764582143_n.jpg)
MALINZI AITAKIA KILA LA KHERI TWIGA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-iM0ALzLFttg/VSbSTBABGbI/AAAAAAAHP9E/U1YhhCJdDAY/s1600/417589_567994973218878_764582143_n.jpg)
Akiongea na wachezaji wa Twiga Star na benchi la Ufundi katika chakula cha pamoja cha mchana leo katika hosteli za TFF zilizopo Karume, Rais Malinzi amesema watanzania wote wana matumaini na timu yao kufanya vizuri kwenye...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CIyoW3Xt1Ww/U531sm4lXlI/AAAAAAAFq1s/q0UL2cH3jy4/s72-c/2.jpg)
VIINGILIO MECHI ZA TAIFA STARS SASA KARIBU NA BURE - MALINZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-CIyoW3Xt1Ww/U531sm4lXlI/AAAAAAAFq1s/q0UL2cH3jy4/s1600/2.jpg)
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM JAMAL Malinzi, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kwamba kuanzia sasa viingilio vya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars kwa maeneo yasiyo ya VIP vitakuwa vya bei nafuu ili kutoa fursa kwa watu wengi kwenda kuishangilia timu hiyo.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Malinzi amesema kwamba wamejifunza hilo kutoka kwa Zimbabwe ambao kwenye mechi za timu ya taifa viingilio vya eneo la mzunguko huwa vya chini mno.
“Tumeona...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s72-c/arsfinal.png)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS
![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s640/arsfinal.png)