Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi awatia usongo Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, juzi aliungana na wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, mjini Gaborone, Botswana kuwahamasisha, ikiwa ni maandalizi ya mechi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Malinzi awajaza mapesa Stars

Wakati nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiuelezea ushindi wao wa nyumbani kuwa ni zawadi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, rais huyo amewazawadia wachezaji hao Sh1 milioni kila mmoja.

 

9 years ago

Mtanzania

Malinzi asikitishwa matokeo Twiga Stars

malinziNA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, amesikitishwa na matokeo mabovu ambayo timu ya Twiga Stars inayapata katika michuano ya All African Games inayoendelea nchini Congo Brazzaville.

Malinzi alitoa kauli hiyo jana, akidai matokeo hayo mabovu yanatokana na kukosa ligi ya Taifa ya soka la wanawake, ambayo ingesaidia kuibua vipaji lukuki.

“Tunafungwa kwa sababu hakuna Ligi ya mchezo huu, tunatarajia kuanzisha Ligi ambayo tutazalisha wachezaji...

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi awapa tano Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Watanzania wote kwa ushindi waliopata dhidi ya Malawi juzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi amwengua Kim uteuzi Stars

Siku za kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen zimeanza kuhesabika baada ya jana Shirikisho Soka Tanzania (TFF), kutangaza mikakati ya kusaka vipaji vya wachezaji bila ya kuhusisha Mdenmark huyo katika zoezi hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi afafanua jezi mpya Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...

 

10 years ago

Michuzi

MALINZI AITAKIA KILA LA KHERI TWIGA STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF Jamal Malinzi, ameitakia kila la kheri timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) katika mchezo wake wa kesho wa marudaino dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (She-Polopolo) utakaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongea na wachezaji wa Twiga Star na benchi la Ufundi katika chakula cha pamoja cha mchana leo katika hosteli za TFF zilizopo Karume, Rais Malinzi amesema watanzania wote wana matumaini na timu yao kufanya vizuri kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema Tanzania haiwezi kujitoa kwenye mashindano kwa sasa kuhofia rungu la Shirikisho la Soka Ulimwenguni (Fifa).

 

11 years ago

Michuzi

VIINGILIO MECHI ZA TAIFA STARS SASA KARIBU NA BURE - MALINZI


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM JAMAL Malinzi, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kwamba kuanzia sasa viingilio vya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars kwa maeneo yasiyo ya VIP vitakuwa vya bei nafuu ili kutoa fursa kwa watu wengi kwenda kuishangilia timu hiyo.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Malinzi amesema kwamba wamejifunza hilo kutoka kwa Zimbabwe ambao kwenye mechi za timu ya taifa viingilio vya eneo la mzunguko huwa vya chini mno.
“Tumeona...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani