VIINGILIO MECHI ZA TAIFA STARS SASA KARIBU NA BURE - MALINZI
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
JAMAL Malinzi, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kwamba kuanzia sasa viingilio vya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars kwa maeneo yasiyo ya VIP vitakuwa vya bei nafuu ili kutoa fursa kwa watu wengi kwenda kuishangilia timu hiyo.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Malinzi amesema kwamba wamejifunza hilo kutoka kwa Zimbabwe ambao kwenye mechi za timu ya taifa viingilio vya eneo la mzunguko huwa vya chini mno.
“Tumeona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa
11 years ago
Michuzi22 Apr
9 years ago
Habarileo09 Oct
Malinzi awapa tano Taifa Stars
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Watanzania wote kwa ushindi waliopata dhidi ya Malawi juzi.
9 years ago
MichuziSIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA
10 years ago
Mwananchi30 Mar
MECHI:Samata aibeba Taifa Stars
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
10 years ago
Vijimambo15 Mar
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Mechi ngumu inayoweza kuipa heshima Taifa Stars
9 years ago
MichuziUCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA
Ama hakika wengi waliokuwepo Uwanja wa Taifa jana waliondoka kwa huzuni sana. Waliondoka kwa huzuni sio sababu timu ya taifa ilifungwa. Laa hasha!! Hawakutegemea kupata matokeo ya sare kwenye mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya miamba ya soka afrika Algeria.Tayari kwa kila mmoja mechi ilishaisha hasa baada ya kuongoza kwa goli mbili kwa bila.ila mpira ni mchezo wa makosa.mwisho wa mchezo ikawa huzuni kwetu baada ya waarabu wa kaskazin mwa afrika kusawazisha goli zote...