MALINZI AITAKIA KILA LA KHERI TWIGA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-iM0ALzLFttg/VSbSTBABGbI/AAAAAAAHP9E/U1YhhCJdDAY/s72-c/417589_567994973218878_764582143_n.jpg)
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF Jamal Malinzi, ameitakia kila la kheri timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) katika mchezo wake wa kesho wa marudaino dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (She-Polopolo) utakaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongea na wachezaji wa Twiga Star na benchi la Ufundi katika chakula cha pamoja cha mchana leo katika hosteli za TFF zilizopo Karume, Rais Malinzi amesema watanzania wote wana matumaini na timu yao kufanya vizuri kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zhNl_E-aLuU/VUNk9AIlvaI/AAAAAAAHUeA/H58w7gCzFyg/s72-c/tff_logo.jpg)
KILA LA KHERI YANGA - MALINZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zhNl_E-aLuU/VUNk9AIlvaI/AAAAAAAHUeA/H58w7gCzFyg/s1600/tff_logo.jpg)
Katika salamu zake Malinzi amesema ,Young Africans wakiwa ndio timu wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika michuano ya kimataifa barani Afrika wanapaswa kupambana kuhakikisha wanasonga mbele...
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Malinzi asikitishwa matokeo Twiga Stars
NA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, amesikitishwa na matokeo mabovu ambayo timu ya Twiga Stars inayapata katika michuano ya All African Games inayoendelea nchini Congo Brazzaville.
Malinzi alitoa kauli hiyo jana, akidai matokeo hayo mabovu yanatokana na kukosa ligi ya Taifa ya soka la wanawake, ambayo ingesaidia kuibua vipaji lukuki.
“Tunafungwa kwa sababu hakuna Ligi ya mchezo huu, tunatarajia kuanzisha Ligi ambayo tutazalisha wachezaji...
10 years ago
Mwananchi18 May
MAONI: Kila la kheri Stars michuano ya Cosafa
9 years ago
Vijimambo04 Sep
Kuiona Stars buku 7, Magufuli aitakia heri.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-4Augst2015.jpg)
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.
Wakati kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameomba Watanzania waruhusiwe kuingia bure uwanjani kuishangilia Taifa Stars dhidi ya Nigeria kesho, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vikubwa kwa ajili ya mechi hiyo ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.
Wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu zilizofanyika Mbagala jijini Dar es Salaam Jumapili, Zitto...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-biLlknAkffE/VUNIZqhAu3I/AAAAAAAA8FI/c3tsiKKeHl8/s72-c/TFF%2BLOGO.jpg)
KILA LA KHERI YANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-biLlknAkffE/VUNIZqhAu3I/AAAAAAAA8FI/c3tsiKKeHl8/s1600/TFF%2BLOGO.jpg)
Katika salamu zake Malinzi amesema ,Young Africans wakiwa ndio timu wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika michuano ya kimataifa barani Afrika wanapaswa kupambana kuhakikisha wanasonga mbele...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Tunawatakia kila la kheri
WAGOMBEA watarajiwa wa nafasi mbalimbali za dola, na hasa ngazi ya urais wa Jamhuri ya Muungano w
Mwandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Kila la kheri UKAWA
UMOJA wa Katiba ya Wananchi Nje ya Bunge (UKAWA), jana uliandika historia kwa kufanya kile kilichokuwa kinasubiriwa na Watanzania wengi kwa miaka mingi. Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda UKAWA,...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Kila la kheri uchaguzi CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinaendelea na uchaguzi wake mkuu wa ndani ili kupata safu mpya ya uongozi. Uchaguzi huo umeonesha wazi kwamba chama hicho sasa kimekuwa sana, kutokana...