Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DED Kahama afafanua ujenzi stendi mpya

Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, imetoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa eneo la Mbulu baada ya iliyopo kulemewa na wingi wa magari, hali inayosababisha kuwapo kwa msongamano.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri azuia ujenzi stendi ya Igumbilo

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Binilith Mahenge, ameuzuia kwa muda uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kujenga stendi mpya ya mabasi yaendayo mikoani katika...

 

10 years ago

GPL

UJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA

Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea eneo la Kariakoo. Mafundi wakiwa kazini. Taswira ya eneo hilo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi afafanua jezi mpya Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA TTCL, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI BARIADI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma...

 

10 years ago

Habarileo

Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO



NA DENIS MLOWE,IRINGA

STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.

Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...

 

11 years ago

Michuzi

STENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA

Wakazi wa jiji la Mbeya wamejitokeza kwa wingi katika stendi kuu mpya iliopo eneo la nane nane RRM kwaajili ya kuomba maeneo ya kufanyia biashara zao katika eneo hilo.Wageni kutoka mikoani mnataarifiwa kua stendi kuu ya jiji la Mbeya kwa sasa ipo eneo la nanenane (karibu na Uyole) na si mjini soko matola tena kama iliyokuwa hapo awali,lakini si wa mikoani tu bali hata baadhi ya wilaya za jiji la Mbeya.Hivyo ukifik jijini Mbeya usishangae kuambia kuwa basi linaishia hapo eneo la Nane...

 

11 years ago

GPL

JOE KAHAMA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KIMKUNDA,KYAKA,BUKOBA‏


Joe Kahama (mwenye miwani na shati la draft) akiwa na waumini katika ibada na baadaye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisda la Kimkunda,Kyaka,mkoani Kagera. Katika shughuli hiyo, Joe aliwatia homa wabunge wa majimbo ya eneo hilo pale alipoeleza kuwa hatoongea sana lakini watarajie kumsikia sana siku za mbele. Katika hafla hiyo, Joe alichangia shilingi milioni 3 na kushiriki mnada kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo. Picha...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KAHAMA YARIDHISHWA KASI YA UJENZI MRADI WA MAJI NGOGWA - KITWANA


Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha imetembelea na kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji Safi Ngogwa – Kitwana katika halmashauri ya Mji Kahama ambao unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti mwaka huu ukigharimu jumla ya shilingi Bilioni 2.4
Mradi huo unasimamiwa na kutekelezwa  na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani