Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOE KAHAMA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KIMKUNDA,KYAKA,BUKOBA‏


Joe Kahama (mwenye miwani na shati la draft) akiwa na waumini katika ibada na baadaye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisda la Kimkunda,Kyaka,mkoani Kagera. Katika shughuli hiyo, Joe aliwatia homa wabunge wa majimbo ya eneo hilo pale alipoeleza kuwa hatoongea sana lakini watarajie kumsikia sana siku za mbele. Katika hafla hiyo, Joe alichangia shilingi milioni 3 na kushiriki mnada kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo. Picha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK aongoza Harambee ujenzi wa Kanisa la KKKT Bumbuli

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Technolojia na mbunge wa Bumbuli January Makamba wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Bumbuli Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel ya Golden Tulip  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wimbo wa wanabumbuli mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kilutheri la Bumbuli, Kushoto ni askofu mkuu wa KKKT DKt.Gerhas...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MADINI TANZANIA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO KIKUU

Mchungaji Mwansasu na mgeni rasmi Kasesela wakijadiliana jambo Mchungaji Mwansasu akimuongoza mgeni rasmi Kasesela kuingia kanisani.…

 

10 years ago

Michuzi

Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani

 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo   katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIMEI AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA SIHA MKOANI KILIMANJARO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100 zilipatikana.















Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada. Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.  Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey...

 

11 years ago

Michuzi

MILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (katikati), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Makongo Juu  iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira, Paroko wa Parokia ya Makongo Juu, Joseph Masenge, Mwakilishi wa Mkombozi Commecial Benki, Edina Lupembe na Respius Didace. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal ashiriki matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio Temeke Mikoroshini, Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).

1B

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na mwakilishi wa Askofu Titus...

 

10 years ago

Michuzi

KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO

Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo

1

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.

2

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi

3

5

Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala,  Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya  harambee ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KIGANGO CHA MT. DOMINIC SAVIO TEMEKE MIKOROSHINI, DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na mwakilishi wa Askofu Titus Mdoe, Padri Mushi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani