WACHEZAJI WAPYA WENYE ITC RUKSA KUTUMIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wvr0XQGcwVQ/VnKy2x0xdsI/AAAAAAAINIM/F7DhfVd4yjs/s72-c/baf.png)
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya marekebisho ya kanuni za usajili ambapo sasa mchezaji ambaye usajili wake utakuwa umepita kwenye mfumo wa mtandao wa Transfer Matching System (TMS) atapewa leseni na kuitumikia moja kwa moja timu yake mpya.
TFF itatoa leseni ya usajili wa mchezaji ambaye amethibitishwa kupitia mtandao wa TMS baada ya kuwepo nyaraka zote; mkataba uliomalizika, barua ya kuvunja mkataba, barua ya kuachwa (release letter), mkataba mpya na uthibitisho wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xX3WJoquoao/VfgLHORkTBI/AAAAAAABnzw/7h9K2kSi2bU/s72-c/12032990_1631176853811708_6026384044953583507_n.jpg)
TFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-xX3WJoquoao/VfgLHORkTBI/AAAAAAABnzw/7h9K2kSi2bU/s640/12032990_1631176853811708_6026384044953583507_n.jpg)
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Julio atoa ruksa wachezaji kula bata
Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Martha Mboma, Dar es Salaam
BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wake kwenda mapumziko.
Mwadui ambayo inashika nafasi ya tano ikiwa na pointi 22 nyuma ya Simba ambao wana alama 24, ikiwa ni msimu wake wa kwanza baada ya kushuka miaka kadhaa iliyopita mchezo wake wa mwisho ilitoka sare ya bao 1-1 na vijana hao wa...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wenye daladala ‘ruksa’ kuendesha mradi DART
SERIKALI imesema haina kipingamizi kwa wamiliki wa mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu kama daladala kuendesha mfumo wa mabasi yaendayo haraka kwenye jiji hilo katika kipindi cha mpito.
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Keshi awachagua wachezaji wapya
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Mourinho:Sina haki kuwasajili wachezaji wapya
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Usajili wa wachezaji uwe wenye kuleta tija
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Wasanii, wachezaji Simba kukutana na wenye ‘sickle cell’ leo
NA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)
WASANII wa fani mbalimbali, wachezaji wa soka Ligi Kuu Tanzania Bara na wadau wa afya leo wanaungana katika bonanza la kuadhimisha mwezi wa kuongeza uelewa juu ya ugonjwa wa upungufu wa damu (sickle cell).
Wasanii watakaokuwepo katika bonanza hilo ni Wema Sepetu, Banana Zorro, Barnaba, Mwana Fa, Vyone Cherry (Monalisa).
Wengine ni mshindi wa tuzo mbili za ZIFF, Honeymoon Mohammed, Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi na kwa upande wa soka watakuwepo baadhi ya...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani …
Najua mtu wangu imekuwa ni kawaida kusikia majina ya wachezaji pindi wanapotangazwa kupitia Television au Radio wakati mpira ukichezwa, wengi huwa tunatambua majina ya kawaida na mafupi kutokana na namna ya matamshi ambayo mtangazaji hutamka. Stori kutoka thebesteleven.com hii ndio Top 5 ya majina marefu zaidi kwa wachezaji soka, huenda wakawepo wengine ila imenifikia list hii mtu […]
The post Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …
Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine kama unaweza kumuita mchezaji mbele za watu wasio mfahamu wanaweza kujua una maana tofauti, mfano kuna mchezaji anaitwa Drinkwater kwa kiswahili ni kunywa maji. Hii nimeikuta sokkaa.com. 4- Argelico Fucks huyu ni mchezaji wa zamani […]
The post List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha … appeared first on...