Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye daladala ‘ruksa’ kuendesha mradi DART

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiSERIKALI imesema haina kipingamizi kwa wamiliki wa mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu kama daladala kuendesha mfumo wa mabasi yaendayo haraka kwenye jiji hilo katika kipindi cha mpito.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wamiliki wa daladala kuendesha Dart kwa hisa

Ofisi ya akala wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Kasi (Dart), imesema wamiliki wa daladala watakaoathirika na mradi huo watakuwa na nafasi ya kuuendesha katika mfumo wa hisa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamiliki daladala watakiwa kujiandikisha DART

WAKALA wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) umewataka wamiliki wote wa daladala ambao mabasi yao yanapita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia hiyo kufika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DART yaongeza siku usajili daladala

WAKALA wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza kusogeza mbele zoezi la kuandikisha mabasi ya abiria ‘daladala’ zinazopita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia...

 

11 years ago

Habarileo

Daladala waitikia vyema mfumo wa DART

WAMILIKI wa mabasi ya abiria maarufu kama daladala, jijini Dar es Salaam wameendelea kujitokeza kwa wingi kuandikisha mabasi yao kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kufanikisha awamu ya kwanza ya mradi huo.

 

11 years ago

Michuzi

DART kukutana na wamiliki wa daladala Karimjee Jumamosi

Wamiliki wa mabasi ya usafiri wa abiria jijini Dar es Salaam na wadau wengine muhimu wanatarajia kukutana kwenye Ukumbi wa Karimjee jumamosi asubuhi kujifunza fursa na kufahamu jinsi wanavyoweza kuwa washiriki katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza baadaye mwaka huu.
Waratibu wa mkutano huo, wakala wa mabasi yaendayo haraka, DART Agency, watatumia pia mkutano huo kuelezea mkutano mwingine wa kimataifa unaotarajiwa kufanyika tarehe 3-4 mwezi ujao kujadili kuhusu...

 

10 years ago

TheCitizen

Daladala, Uda sign pact on Dart project

A row between the government and commuter bus owners over Dar Rapit Transit (Dart) project was finally settled yesterday.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DART wasajili wamiliki daladala kufikia malengo

MAMLAKA inayosimamia mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), iko katika hatua ya kusajili wamiliki wa daladala jijini Dar es Salaam ambao njia zao zinapita katika barabara ya Morogoro. Hatua hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

WACHEZAJI WAPYA WENYE ITC RUKSA KUTUMIKA

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya marekebisho ya kanuni za usajili ambapo sasa mchezaji ambaye usajili wake utakuwa umepita kwenye mfumo wa mtandao wa Transfer Matching System (TMS) atapewa leseni na kuitumikia moja kwa moja timu yake mpya.
TFF itatoa leseni ya usajili wa mchezaji ambaye amethibitishwa kupitia mtandao wa TMS baada ya kuwepo nyaraka zote; mkataba uliomalizika, barua ya kuvunja mkataba, barua ya kuachwa (release letter), mkataba mpya na uthibitisho wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa akagua mradi wa DART

IMGS5658

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Watendaji wa Mradi wa Mabasi yaendeyo haraka DART ofisini kwake kabla ya kufanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.Kulia Kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Utumishi  na Utawala Bora, George Siumbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS5703

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya basi la Mradi wa Mabasi yaendayo haraka DART kwenye kituo cha Feri jijini Dar es salaam akati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani