Majaliwa akagua mradi wa DART
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Watendaji wa Mradi wa Mabasi yaendeyo haraka DART ofisini kwake kabla ya kufanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.Kulia Kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora, George Siumbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya basi la Mradi wa Mabasi yaendayo haraka DART kwenye kituo cha Feri jijini Dar es salaam akati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Majaliwa ataka viyoyozi vituo vya mabasi ya Dart
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Wananchi walalamika kuhujumiwa mradi wa DART
BAADHI ya wananchi wameelezea kusikitishwa na mwenendo wa uharibifu unaozidi kushika kasi katika miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT). Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao walisema uharibifu huo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mradi DART wapata nguvu mpya
MRADI wa mabasi yaendayo haraka umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri itakayofanya kazi ya kupatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu....
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Benki ya Dunia yaridhishwa mradi wa DART
BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), ambao upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Akizungumza...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Mabasi mradi wa DART kubeba abiria 150
NA RABIA BAKARI
MABASI yanayopendekezwa kutumika kwenye usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam, ni yale yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 150 kwa pamoja.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu kununua magari hayo kwa mtu mmoja mmoja, na kwamba kama wana nia ya kuingia katika biashara hiyo, hawana budi kuungana au kushirikiana na wadau wengine wa usafirishaji.
Kauli hiyo ilitolewa na serikali jana, wakati wa mkutano na wadau kutoka nchi...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wenye daladala ‘ruksa’ kuendesha mradi DART
SERIKALI imesema haina kipingamizi kwa wamiliki wa mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu kama daladala kuendesha mfumo wa mabasi yaendayo haraka kwenye jiji hilo katika kipindi cha mpito.
10 years ago
MichuziDART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA
9 years ago
MichuziMRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.
Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa mabasi 120 yalishawasili jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu ameanza kwa kukagua vituo vya mradi huo kuanzia cha Feri, Jangwani,...
9 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA DART.
1. Ati ni ya Kichina
2. Milango ya kushukia na kupandia Abiria Iko kushoto hivyo hayaendani na Miundombinu iliyojengwa.
HUO NI UZUSHI WENYE LENGO LA KUWAPOTOSHA WATANZANI WALIOCHOSHWA NA MSONGAMANO UNAOONGEZEKA SIKU HADI SIKU
TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA HII HAPA:
1. Kiwanda Kilicho Assemble (Kuunganisha) Mabasi haya kinaitwa Golden Dragon cha China.
2. Aina ya...