Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa
Hii ni list iliyotolewa ya vilabu/wachezaji ambao jezi zao zinaongozwa kwa kuuza ulaya. Imetolewa na mtandao wa Kitbag.com na kuoredhesha majina ya wachezaji 10 ambao jezi zenye namba zao zinaongoza kwa kuuzwa barani ulaya. Mchezajia ambaye amewashangaza wengi ni winga mpya wa klabu ya Manchester United anayevaa jezi namba 7, Memphis Depay baada ya kushika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Hii ndiyo orodha ya wachezaji 40 ambao wanawania kuwepo katika kikosi cha Ulaya 2015
MAKIPA
Joe Hart (Man City)
Gianluigi Buffon (Juventus)
Manuel Neuer (Bayern)
Denys Bokyo (Dnipro)
MABEKI
David Alaba (Bayern)
Jerome Boateng (Bayern)
Dani Alves (Barcelona)
Javier Mascherano (Barcelona)
Gerard Pique (Barcelona)
Giorgio Chiellini (Juventus)
Leonardo Bonucci (Juventus)
David Luiz (PSG)
Thiago Silva (PSG)
Diego Godin (Atletico Madrid)
Sergio Ramos (Real Madrid)
Ricardo Rodriguez (Wolfsburg)
VIUNGO
James Rodrigues (Real Madrid)
Paul Pogba (Juventus)
Claudio Marchisio(Juventus)
10 years ago
MichuziJEZI MPYA ZA SIMBA KUUZWA HADI MTANDAONI
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila kukicha kuhusu mastaa wake kufanya hivi au vile na vitu vingine vingi. Ila kama ambavyo tumekuwa tukiona watu maarufu kutoka tasnia mbalimbali wakichukiwa basi nimekutana […]
The post Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo30 Dec
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]
The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Mbeya City wabadili jezi zao
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
10 years ago
Africanjam.ComPICHA: ARSENAL WALIVYOTANGAZA JEZI ZAO MPYA
Arsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.Unahitaji chochote...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Mbeya City yalia na ‘vishoka’ wa jezi zao
KLABU ya Mbeya City, imesema jezi zote zenye nembo yao zinazouzwa jijini Dar es Salaam na nyinginezo, ni feki kutokana na wao kutotoa jezi mpya. Akizungumza kwa simu akiwa Mbeya...
9 years ago
VijimamboTFF: RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....