Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JEZI MPYA ZA SIMBA KUUZWA HADI MTANDAONI

 KLABU ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya kuuza vitu kwa njia ya Mtandao ‘Jumia’ wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015-2016 ‘Jumia – Simba Online Shop’ kupitia katika duka la mtandao la Jumia Iiitwayo la www.jumia.co.tz.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema dhumuni la huduma hiyo ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya Simba njia bora ya kuweza kununua jezi popote walipo nchini.Aveva alisema klabu ya Simba inapanga kuongeza upatikanaji wa vifaa vyake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa

Hii ni list iliyotolewa ya vilabu/wachezaji ambao jezi zao zinaongozwa kwa kuuza ulaya. Imetolewa na mtandao wa Kitbag.com na kuoredhesha majina ya wachezaji 10 ambao jezi zenye namba zao zinaongoza kwa kuuzwa barani ulaya. Mchezajia ambaye amewashangaza wengi ni winga mpya wa klabu ya Manchester United anayevaa jezi namba 7, Memphis Depay baada ya kushika […]

 

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

10 years ago

GPL

OIL MPYA YA MAGARI NA MITAMBO YAANZA KUUZWA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la F-Zone (T) Ltd, Mtitu Game akiwa na mteja kwenye duka hilo lililopo mtaa wa Kariakoo na Msimbazi jijini Dar. Wafanyakazi wa Duka la Mtitu Game wakishikilia madumu yenye oil ya NEXTOIL.…

 

10 years ago

Mtanzania

Kiongera akabidhiwa jezi ya Mosoti Simba

Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera

Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera

NA HUSSEIN OMAR, UNGUJA

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Paul Kiongera, amewasili katika kambi ya timu hiyo, iliyopo mjini hapa kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.

Simba imeweka kambi hapa ikiwa chini ya Kocha Mkuu wake, Mzambia Patrick Phiri na Jumamosi inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Gor Mahia ya Kenya, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Kiongera, aliyewasili hapa juzi usiku, jana alijumuika na...

 

10 years ago

Mwananchi

Raphael Kiongera aikataa jezi ya Mosoti Simba

Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera amegoma kupokea jezi namba 5 kwa madai kuwa hawezi kuivaa badala ya Donald Mosoti na kutaka atafutiwe namba nyingine.

 

11 years ago

GPL

Loga amgawia jezi ya Simba, mchungaji Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zadravko Logarusic ametoa zawadi ya jezi ya Simba kwa mchungaji wa kanisa la Katoliki ambaye ni shabiki wa Yanga na akaipokea bila ya matatizo.

Logarusic maarufu kama Loga amewasilisha zawadi hiyo siku tatu zilizopita katika mji aliozaliwa wa Slavonski Brod ambao mchungaji, Josephat Mosha amekuwa akifanya kazi kwa miaka nane sasa.

Mosha raia wa...

 

10 years ago

GPL

WINGA Mbeya City aitaka jezi ya Simba kwa Sh 45m

Kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke. Na Wilbert Molandi
KAMA kweli Simba na Yanga zinataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke basi zijiandae kuvunja benki na kumlipa daua la shilingi milioni 45 ili ajiunge na moja kati ya timu hizo. Mkataba wa Kaseke na Mbeya City unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu, tayari Simba na Yanga zimeshaonyesha nia ya kumsajili Kaseke lakini zilishindwa kuvunja...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Picha: Zitazame jezi mpya za Chelsea

Jezi mpya za klabu ya Chelsea ambazo zitatumika katika msimu ujao zikiwa na nembo ya mdhamini mpya zimewekwa hadharani. Jezi mpya za Chelsea watazotumia ugenini ni hizi Udhamini huu unaifanya Chelsea ivune pound milioni 40 ambapo watachota pound milioni 200 katika kipindi chote cha udhamini. Udhamini huo wa Chelsea ni wa pili kuwa na thamani […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani