Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WINGA Mbeya City aitaka jezi ya Simba kwa Sh 45m

Kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke. Na Wilbert Molandi
KAMA kweli Simba na Yanga zinataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke basi zijiandae kuvunja benki na kumlipa daua la shilingi milioni 45 ili ajiunge na moja kati ya timu hizo. Mkataba wa Kaseke na Mbeya City unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu, tayari Simba na Yanga zimeshaonyesha nia ya kumsajili Kaseke lakini zilishindwa kuvunja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKAZI WA MBEYA WACHANGAMKIA JEZI ZA MBEYA CITY

Wakazi wa Mbeya wakichangamkia jezi za Mbeya City. Mkazi wa Mbeya akiwa ndani ya jezi Hali ya jiji la Mbeya leo…

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City wabadili jezi zao

Timu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imepanga kubadili jezi zao wanazozitumia zenye rangi ya zambarau na nyeupe ndani ya mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City yalia na ‘vishoka’ wa jezi zao

KLABU ya Mbeya City, imesema jezi zote zenye nembo yao zinazouzwa jijini Dar es Salaam na nyinginezo, ni feki kutokana na wao kutotoa jezi mpya. Akizungumza kwa simu akiwa Mbeya...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuibomoa Mbeya City

Dar es Salaam. Simba imepanga kuibomoa Mbeya City baada ya kuanza harakati za kuwawania winga Deus Kaseke, beki Kenny Ally na mshambuliaji Paul Nonga wa timu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Mbeya City vitani

Mbeya City wataishusha Yanga katika nafasi ya pili kama wataibuka na ushindi leo dhidi ya Ashanti United kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku Simba wakiwa na kibarua kizito mbele ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani