Hii ndiyo orodha ya wachezaji 40 ambao wanawania kuwepo katika kikosi cha Ulaya 2015
MAKIPA
Joe Hart (Man City)
Gianluigi Buffon (Juventus)
Manuel Neuer (Bayern)
Denys Bokyo (Dnipro)
MABEKI
David Alaba (Bayern)
Jerome Boateng (Bayern)
Dani Alves (Barcelona)
Javier Mascherano (Barcelona)
Gerard Pique (Barcelona)
Giorgio Chiellini (Juventus)
Leonardo Bonucci (Juventus)
David Luiz (PSG)
Thiago Silva (PSG)
Diego Godin (Atletico Madrid)
Sergio Ramos (Real Madrid)
Ricardo Rodriguez (Wolfsburg)
VIUNGO
James Rodrigues (Real Madrid)
Paul Pogba (Juventus)
Claudio Marchisio(Juventus)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)
Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.
Na Rabi Hume
Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...
9 years ago
Bongo514 Oct
Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa
9 years ago
Bongo510 Sep
Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL
9 years ago
Vijimambo22 Oct
HII NDIYO YANGA SC INA KIKOSI BORA ‘KILICHOSHIBA’
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Vicent-Bosou.png)
Mlinzi wa kati wa Yanga Vicent Bosou ambaye amecheza kwa dakika zote 90 kwa mara ya kwanza wakati Yanga ikicheza dhidi ya Toto Africans
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam
Licha ya wachezaji wake kuendelea kuendelea kukosa kujiamini wapatapo ‘mkwaju wa penati’, washambuaji wa Yanga SC ameendelea kufunga magoli ya kutosha na kujikita katika kilele cha msimamo. Mlinzi wa kulia, Juma Abdul alifunga goli ‘maridadi’ la mkwaju wa mita zisizopungua 23 mapema dakika ya 9’ wakati Yanga ikicheza na...
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Hii ndiyo listi ya makocha 10 ambao wametumia pesa nyingi kufanya usajili tangu mwaka 2006
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Katika soka ili kupata kilicho bora unahitaji kufanya usajili licha ya kuwapo kwa makocha wachache ambao wamekuwa hawasajili sana na badili yake wamekuwa wakitumia wachezaji vijana ambao wanakuwa wakitokea katika vituo vya kukuzia vipaji [akademi] za klabu husika, kuchukua wachezaji ambao wapo huru au kununua wachezaji kwa gharama nafuu.
Modewjiblog imekuandalia listi ya makocha 10 ambao wametumia pesa nyingi kufanya usajili kwa kipindi miaka 10 iliyopita kwa...
5 years ago
Bongo514 Feb
Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu
Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.
Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.
Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...
9 years ago
Bongo505 Sep
Orodha ya wachezaji 12 wa tennis duniani walioingiza fedha nyingi mwaka 2015
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Hii ndiyo rekodi waliyojiwekea Bayern Munich katika uwanja wao wa nyumbani Allianz Arena kwa msimu wa 2015/2016
Kikosi cha Bayern Munich.
Nembo ya Bayern Munich.
Na Rabi Hume
Klabu ya Bayern Munich inayoshiriki ligi kuu ya nchini Ujerumani (Bundesliga) msimu wa 2015 imeanza msimu huu kitofauti kutokana na kasi walionayo katika michezo ya Bundesliga na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya jambo limelofanya timu hiyo kuvunja rekodi ya kushinda mechi nyingi mfululizo na kuwe na wastani mzuri wa magoli wawapo nyumbani.
Tangu kuanza kwa msimu huu Bayern Munich wamejiwekea rekodi ya kuwa na wastani mkubwa wa...