Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …

Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila kukicha kuhusu mastaa wake kufanya hivi au vile na vitu vingine vingi. Ila kama ambavyo tumekuwa tukiona watu maarufu kutoka tasnia mbalimbali wakichukiwa basi nimekutana […]

The post Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …

Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]

The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video)

Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua unafahamu mchezaji kupigwa tobo uwanjani huwa inakuwa noma sana au aibu flani, kutokana na wakati tukio hilo linafanyika lazima mashabiki wa mchezaji husika washangilie na […]

The post Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video)

Imekuwa ni kawaida kukumbushana vitu mbalimbali vinayohusu soka mtu wangu wa nguvu na leo December 22, nimeona sio vibaya nikikusogezea list ya mastaa wa soka waliotamba na ambao bado wanatamba kwa kupiga mashuti makali golini mwa timu pinzani. Hii ndio list ya mastaa watano wa soka wanaongoza kwa kupiga mashuti golini. Roberto Carlos hakuna ambaye hamfahamu huyu […]

The post Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani …

Najua mtu wangu imekuwa ni kawaida kusikia majina ya wachezaji pindi wanapotangazwa kupitia Television au Radio wakati mpira ukichezwa, wengi huwa tunatambua majina ya kawaida na mafupi kutokana na namna ya matamshi ambayo mtangazaji hutamka. Stori kutoka thebesteleven.com hii ndio Top 5 ya majina marefu zaidi kwa wachezaji soka, huenda wakawepo wengine ila imenifikia list hii mtu […]

The post Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani … appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa

Hii ni list iliyotolewa ya vilabu/wachezaji ambao jezi zao zinaongozwa kwa kuuza ulaya. Imetolewa na mtandao wa Kitbag.com na kuoredhesha majina ya wachezaji 10 ambao jezi zenye namba zao zinaongoza kwa kuuzwa barani ulaya. Mchezajia ambaye amewashangaza wengi ni winga mpya wa klabu ya Manchester United anayevaa jezi namba 7, Memphis Depay baada ya kushika […]

 

9 years ago

MillardAyo

Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…

Mashabiki wengi  wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015. Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora. Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za […]

The post Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015… appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho …

Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kukipiga katika vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya, ikiwemo FC Barcelona ya Hispania na AC Milan ya Italia Ronaldinho amerudi katika headlines jioni ya December 28. Baada ya klabu ya Racing Club de Montevideo ya Uruguay kutangaza kumsajili Ronaldinho. Mkali huyo wa soka wa Brazil ambaye amewahi […]

The post Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo silaha ya mjasiriamali katika kufikia mafanikio

Wahenga walisema: “Maisha ni kuona mbele.” Huu ni usemi unaompa mjasiriamali matumaini ya kusonga mbele pasipo kutumia muda mwingi kuwaza yale aliyokwishafanya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya mwaka 2012 katika mkoa wa Dodoma

USAMBAZAJI DODOMA 1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akielezea umuhimu wa kufanya Semina  ya Usambazaji wa  Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 2 Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akitoa maelezo mafupi kuhusu Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 3

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani