Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho …
Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kukipiga katika vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya, ikiwemo FC Barcelona ya Hispania na AC Milan ya Italia Ronaldinho amerudi katika headlines jioni ya December 28. Baada ya klabu ya Racing Club de Montevideo ya Uruguay kutangaza kumsajili Ronaldinho. Mkali huyo wa soka wa Brazil ambaye amewahi […]
The post Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho … appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, haya ndio maamuzi yaliofanywa na klabu yake …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kuichezea klabu ya AC Milan ya Italia Alexandre Pato alikuwa katika mipango ya Liverpool ya Uingereza kwa muda mrefu, lakini uhamisho wake ulikuwa unatajwa kukamilishwa January. Pato yupo katika klabu ya Corinthians baada ya kuondoka AC Milan mwaka 2013. Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, licha ya kuwa waliwahi kutuma ofa […]
The post Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, haya ndio maamuzi yaliofanywa...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …
Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo kwa matukio kadhaa ya soka. December 24 naomba nikukumbushie au nikusogezee video ya dakika 8 ya matukio ya staa wa soka kutokea Brazil Ronaldinho Gaucho, haya ndio […]
The post Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Hii ndio kauli ya Thomas Muller ambayo ni pigo kwa klabu ya Man United ya Uingereza …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani anayekipiga katika klabu ya FC Bayern Munich ya kwao Ujerumani Thomas Muller, December 18 ameingia katika headlines baada ya kuamua maamuzi tofauti ila ni pigo kwa klabu ya Man United. Muller ambaye ana mudu kucheza nafasi ya winga, mshambuliaji pamoja na kiungo ameamua kuongeza mkataba na FC Bayern, maamuzi ambayo […]
The post Hii ndio kauli ya Thomas Muller ambayo ni pigo kwa klabu ya Man United ya Uingereza … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Hii ndio kauli ya Louis van Gaal iliyomuondoa Chicharito katika klabu ya Man United …
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa sasa Javier Hernandez Chicharito amefunguka kwa nini aliamua kuondoka Man United. Chicharito ambaye aliondoka Man United mwaka 2015 baada ya kucheza kwa mkopo wa muda mfupi ndani ya klabu ya Real Madrid. Kwa mara ya kwanza Chicharito ndio anatajwa sababu […]
The post Hii ndio kauli ya Louis van Gaal iliyomuondoa Chicharito katika klabu ya Man United … appeared first on...
5 years ago
MillardAyo10 Mar
Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!!
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]
The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video)
Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua unafahamu mchezaji kupigwa tobo uwanjani huwa inakuwa noma sana au aibu flani, kutokana na wakati tukio hilo linafanyika lazima mashabiki wa mchezaji husika washangilie na […]
The post Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video) appeared first on...