Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …

Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]

The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …

Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila kukicha kuhusu mastaa wake kufanya hivi au vile na vitu vingine vingi. Ila kama ambavyo tumekuwa tukiona watu maarufu kutoka tasnia mbalimbali wakichukiwa basi nimekutana […]

The post Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video)

Imekuwa ni kawaida kukumbushana vitu mbalimbali vinayohusu soka mtu wangu wa nguvu na leo December 22, nimeona sio vibaya nikikusogezea list ya mastaa wa soka waliotamba na ambao bado wanatamba kwa kupiga mashuti makali golini mwa timu pinzani. Hii ndio list ya mastaa watano wa soka wanaongoza kwa kupiga mashuti golini. Roberto Carlos hakuna ambaye hamfahamu huyu […]

The post Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video)

Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua unafahamu mchezaji kupigwa tobo uwanjani huwa inakuwa noma sana au aibu flani, kutokana na wakati tukio hilo linafanyika lazima mashabiki wa mchezaji husika washangilie na […]

The post Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…

Mashabiki wengi  wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015. Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora. Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za […]

The post Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015… appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015

Haya mtu wangu wa nguvu wakati tunaendelea kusherehekea sikuku ya mwaka mpya 2016, ninayo list ya style 9 za nywele zilizotamba kwa mastaa wa soka wa Ulaya kwa mwaka 2016. Stori kutoka 101greatgoals.com inawatala mastaa hawa ndio waliokuwa na style za nywele zilizotamba. Miongoni mwa mastaa waliotajwa ni Iniesta,  Raheem Sterling na Paul Pogba. 1- […]

The post Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015

Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umepata watu wengi sana kwa mwaka 2015, ni mtandao ambao kila mtumiaji anao uhuru wa kupost picha na video fupi za sekunde kumi na tano…. hesabu na mimi TOP 10 ya picha zilizopata likes nyingi mwaka huu wa 2015. 10 Hiyo picha hapo juu kama unavyoiona tu ni ya Kendall Jenner […]

The post Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …

Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 10 ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015. Stori kutoka 101greatgoals.com hii ndio list ya magoli yenye mvuto na […]

The post Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa kuwa nafasi ya nane. December 27 Lionel Messi ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka. Globe Soccer Awards […]

The post List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili … appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani