PICHA: ARSENAL WALIVYOTANGAZA JEZI ZAO MPYA

Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.
Arsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.
Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.
Unahitaji chochote...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com
JEZI MPYA YA ARSENAL MSIMU UJAO 2015/16

Kwa wale wanaojiuliza ni lini Arsenal watatoa jezi zao mpya za Puma kwa ajili ya msimu wa 2015/2016, jibu hili hapa. Jezi za nyumbani za Arsenal zitakazotumika msimu ujao wa 2015/2016 zimevuja….hivyo mashabiki wa London na duniani kote wajiandae kupata mzigo mpya.
10 years ago
Bongo520 Jul
Picha: Zitazame jezi mpya za Chelsea
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Mbeya City wabadili jezi zao
11 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Mbeya City yalia na ‘vishoka’ wa jezi zao
KLABU ya Mbeya City, imesema jezi zote zenye nembo yao zinazouzwa jijini Dar es Salaam na nyinginezo, ni feki kutokana na wao kutotoa jezi mpya. Akizungumza kwa simu akiwa Mbeya...
10 years ago
Bongo514 Oct
Hii ndo top 10 ya wachezaji ambao jezi zao zinaongoza kuuzwa
11 years ago
MichuziKATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
11 years ago
Bongo529 Jul
Picha: Wema Sepetu aivaa jezi ya Michael Jordan (23), asherehekea Eid na shemejiye, Dimpoz
11 years ago
GPL