Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kuwasilisha muhtasari wa mkutano TFF

UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema utawasilisha muhtasari wa mkutano wao mkuu wa Juni Mosi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kukamilisha taratibu zake. Yanga ilifanya mkutano wake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAWAKA WACHEZAJI 9 WA KANEMBWA JKT KUWASILISHA UTETEZI

Wachezaji tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea mbele ya Kamati ya Nidhamu itakayokutana Jumapili (Februari 9 mwaka huu).  Utetezi huo unaweza kuwa wa mdomo kwa walalamikiwa kufika wenyewe mbele ya kamati itakayokutana saa 4 kamili asubuhi au kuuwasilisha kwa njia ya maandishi.  Kamati ilikutana jana Jumatano (Februari 5 mwaka huu) kusikiliza malalamiko dhidi ya wachezaji...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]

The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA

Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF jijini Tanga sasa umeahirishwa kwa muda usiojulikana.
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...

 

10 years ago

Mtanzania

Mkutano Mkuu TFF Des 19

21NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

MKUTANO Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, mwaka huu.

Kikao cha Kamati ya utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana Septemba 6 mwaka huu kimepanga kufanyika kwa mkutano huo huku ajenda zake zitatangazwa baadaye.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, alisema ajenda hizo zitatolewa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.

“Tunawataarifu wajumbe wa mkutano mkuu tarehe ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Vumbi kutimka mkutano mkuu TFF

Wakati mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukitarajiwa kufanyika Jumamosi mjini Morogoro baadhi ya mambo yanatajwa kuvuta hisia za wajumbe wa mkutano huo.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF DISEMBA 19, 2015

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.

 

9 years ago

Mtanzania

Hofu yaghubika Mkutano Mkuu TFF

NA OSCAR ASSENGA

VIONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TRFA), wameingiwa na hofu kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), uliopangwa kufanyika katika Hoteli ya Regal Naivera, baada ya kushindwa kuelezea maandalizi yake.

Akizungumza mkoani hapa, Msimamizi wa Kituo cha Tanga na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Mkoa wa Tanga, Khalid Abdallah, alisema wao hawawezi kuzungumzia maandalizi ya mkutano huo kwa sababu maelezo yanatolewa na Ofisa Habari wa TFF, Baraka...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAIKOMALIA TFF

Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani