WACHEZAJI 9 KUWASILISHA UTETEZI KWA KUMPIGA MWAMUZI
![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-4A3hHrd55Wz29R2yFA1fQA3fRY5AHqQZrhAA9cpYjBq2LXf-7TaDyDUneNTFd4Y4SfxpMlxWlbql9WdwUeoiaZ/1tff.jpg?width=650)
Wachezaji tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea mbele ya Kamati ya Nidhamu itakayokutana Jumapili (Februari 9 mwaka huu). Utetezi huo unaweza kuwa wa mdomo kwa walalamikiwa kufika wenyewe mbele ya kamati itakayokutana saa 4 kamili asubuhi au kuuwasilisha kwa njia ya maandishi. Kamati ilikutana jana Jumatano...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi06 Feb
TFF YAWAKA WACHEZAJI 9 WA KANEMBWA JKT KUWASILISHA UTETEZI
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Utetezi wangu kwa Lowassa
JANUARI 2007 nilihamia Dar es Salaam, nikishughulika karibu na Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Joseph Magata
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI
11 years ago
Habarileo03 Mar
Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani
MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d3guRa1Pnna4hn9FJUY9ax6O7cA7MD9bPVVNip8TXVwSM5bIh8VSDXSiZCp1JSxYqPpbQpASX6QrboC2O9jVvm-/JustinBieber.jpg)
JUSTIN BIEBER ASHTAKIWA KWA KUMPIGA DEREVA
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi
MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.