Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi yaunda Bodi mpya ya Afya yenye wajumbe 11 kwa miaka mitatu
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani, Singida Manju Msambya akizungumza na wajumbe wa bodi ya afya ya Wikaya ya Ikungi kwenye ukumbi wa Lake Hill Singida Motel, wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya halmashauri hiyo.
Na Hillary Shoo,IKUNGI.
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida imeunda bodi mpya ya afya yenye wajumbe 11 na kamati za afya za vituo kwa kipindi cha miaka mitatu ili kufanikisha kuwepo kwa miundo ya kijamii na kitaasisi ambayo itaongeza madaraka na mamlaka ya jamii juu ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Ally Juma Mwanga aula Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Msimamizi wa uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Ikungi, Shukrani Mshigati, akitoa ufafanuzi juu ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu wake Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi uliofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Gichuli Charles.
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wakishiriki kumchangua Mwenyekiti na Makamu wa Mwenyekiti katika halmashauri hiyo.
Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Ally...
11 years ago
MichuziMARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...
5 years ago
MichuziWatumishi waliokwamisha maendeleo ya miaka mitatu ya Halmashauri kuwajibishwa.
Amesema kuwa kwa mujibu wa maelekezo ya Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) yaliyotolewa tarehe 24, April, 2020 kuhusu kushughulikia hoja na mapendekezo...
10 years ago
MichuziTAARIFA YA MAFANIKIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KWA MIAKA MITANO TANGU 2010-2015
5 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboKINANA AZUNGUMUZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya Tawi la CCM...
10 years ago
Vijimambo19 Feb
BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO
10 years ago
MichuziBODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
5 years ago
MichuziDC IKUNGI ATOA MAAGIZO MAZITO YA UGONJWA WA CORONA KWA MAAFISA AFYA
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpugizi Kata ya Mwaru wilayani humo.
Na Dotto Mwaibale.
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo amewaagiza maafisa Afya wa wilaya hiyo kupita kwenye maeneo yenye muingiliano wa kila siku wa watu, minadani na maegesho ya malori yaendayo nje ya nchi na yaingiayo nchini kukagua hatua za tahadhari za maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
Mpogolo alitoa maagizo hayo jana wakati akufungua...