Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AZUNGUMUZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Chake Chake Pemba ambapo aliwataka viongozi wa CCM kutenda haki, kujipanga na kuchagua viongozi wanaokubalika.Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdala akisalimia wananchi wa Mchangani, ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alifika kushiriki ujenzi wa tawi la CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya Tawi la CCM...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA CHAKE CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana sambamba na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Uwandani,katika jimbo la Wawi,wilaya ya Chake Chake,Mkoa Kusini Pemba.Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa mbele ya katibu Mkuu Ndugu Kinana,imeeleza kuwa mradi wa ujenzi wa jengo hilo litakalokuwa na jumla ya vyumba sita,litagharimu kiasi cha shilingi milioni 18 zitakazomilisha mradi huo. Katibu Mkuu wa CCM na ujumbe wake pamoja na wananchi wakikatiza kwenye shamba la miti linalosimamiwa na Kikundi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM — Gombani Chake Chake, Pemba.

Sikiliza mkutano huu moja kwa moja kupitia channel hii http://mixlr.com/muumbela

The post Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM – Gombani Chake Chake, Pemba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAKONYO CHAKE CHAKE PEMBA

Balozi Seif akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Makonyo { Makonyo Conference Cetre } wakati akiingia kwenye eneo hilo. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Bishara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwanajuma Majid.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi ukumbi wa Mikutano uliopo Kiwanda cha Makonyo Wawi Chake...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA

 Waziri  wa Biashara,  Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akipokea maandamano ya watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba  Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaki Okada, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la Judo, Gombani Chake Chake Pemba. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk wakati wa uzinduzi huo. Rais wa heshima wa mchezo wa judo Zanzibar Bw. Shima Oka, akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo hilo Gombani...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Chake chake, pemba

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ametoa agizo kwa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Zanzibar kuufutia hati ya matumizi ya ardhi Mfuko wa kuhudumia Watoto yatima Zanzibar { Zanzibar Children Fund } iliyopewa katika eneo la mawe mazito liliopo Vitongoji Chake chake Pemba. Alisema eneo hilo la Hekta 20 ndilo pekee lililobakia Kisiwani Pemba linalotumiwa na Wizara ya Miundo mbinu na Mawasiliano kwa ung’oaji wa mawe mazito yanayotumiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO SKULI MPYA YA MICHAKAINI WILAYA YA CHAKE CHAKE YAFUNGULIWA RASMI


JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua rasmi. BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan. MWENYEKITI wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kamati Kuu CCM chamaliza Kikao Chake cha Siku Moja Zenj

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kumaliza Kikao hicho cha kawaida cha Siku moja kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wafanyakazi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani