Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC IKUNGI ATOA MAAGIZO MAZITO YA UGONJWA WA CORONA KWA MAAFISA AFYA


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo,  akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpugizi Kata ya Mwaru wilayani humo. 
Na Dotto Mwaibale.
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo amewaagiza maafisa Afya wa wilaya hiyo kupita kwenye maeneo yenye muingiliano wa kila siku wa watu, minadani na maegesho ya malori yaendayo nje ya nchi na yaingiayo nchini kukagua hatua za tahadhari za maambukizi ya ugonjwa  wa Corona.
Mpogolo alitoa maagizo hayo jana wakati akufungua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC MSHAMA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA

MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ,amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na timu yake kufunga hoja 18 zilizokuwa hazijafungwa kwa mwaka 2017/2018 na kufanyia kazi maelekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG ),ndani ya wiki moja.

Aidha ametoa maagizo mengine makubwa manne kwa halmashauri hiyo ikiwemo kuepuka kuingia mikataba mibovu inayosababisha hasara baadae na kudhibiti vyanzo vya ndani vya mapato.

Akizungumza katika...

 

5 years ago

Michuzi

RC KAGERA AKABITHI BOTI KWA WATENDAJI KATA, ATOA MAAGIZO MAZITO KUHUSU MATUMIZI.


Mkuu wa mkoa Kagera Bri.Gen Marco Gaguti aliyeshika ufunguo wenye kamba nyekundu akikabidhi boti kwa watendaji wa kata.
Mkuu wa mkoa Kagera akiwahuitubia wavuvi pamoja na wananchi katika kijiji cha katembe Kata Nyakabango wilayani Muleba wakati wa hafla ya kukabithi Boti.
Wananchi pamoja na viongozi wa wilaya Muleba wakimsikiliza Mkuu wa mkoa alipokuwa akiwahutubia.


Na Allawi Kaboyo,Muleba

Kufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AKAGUA MAGHALA YA SUKARI DAR ES SALAAM, ATOA MAAGIZO MAZITO

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Prof Keneth Bengesi kukagua maghala ya kuhufadhia sukari Jijini Dar es salaam, leo tarehe 16 Mei 2020 wakati akifanya ziara ya kushtukiza Jijini Dar es salaam ili kukagua na kujionea hali ya upatikanaji wa sukari nchini. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Prof Keneth Bengesi wakishusha...

 

5 years ago

Michuzi

IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akinawa mikono kwa mashine maalum ya kunawia pasipo kutumia koki “Free Hand Water Tape” ikiwa ni hatua moja wapo ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa homa ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati) akimwangalia Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Rais Magufuli atoa maagizo ndege za kubeba watalii kuingia

Rais wa Tanzania John Pombe amesema Idadi ya wagonjwa wa corona imeshuka.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MAJI BONDE LA KATI YATOA MAAGIZO MAZITO KWA WAMILIKI WA MABWAWA TOPE SUMU


Afisa wa Maji Bonde la Kati, William Mabula, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukagua athari za mafuriko kufuatia kujaa kwa maziwa ya Kindai, Munang na Singidani mkoani hapa jana.
Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Nelea Bundala, akionesha athari za mafuriko hayo.
Muonekano wa Ofisi ya Bodi ya Maji Bonde la Kati mkoani Singida.





Na Waandishi Wetu, Singida

KUFUATIA mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha Bodi ya Maji Bonde la...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CCM AZZA HILAL ATOA MSAADA WA NGAO ZA USO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUJIKINGA NA CORONA


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametoa msaada wa Ngao za Uso ‘ Face Shields’ 60 zenye thamani ya shilingi 240,000/= kwa ajili ya watoa huduma za afya katika vituo vyote mkoani Shinyanga vilivyotengwa kwa ajili ya kuhudumia watu waenye maambukizi ya Virusi vya Corona.
Mhe. Azza amekabidhi Ngao hizo za uso leo Ijumaa Mei 8,2020 wakati akikabidhi gari la kubebea Wagonjwa ‘ Ambulance’ lililotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani